Je ni Busara Gani Alizotumia Bwana Mrema Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Magufuli na si Mgombea urais Lyimo wa TLP.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ninataka niamini kuna muungano wa CCM na TLP kwani tukio la jana kati ya mgombea urais wa CCM na Mgombea Ubunge wa TLP ni tukio la aina yake. Kwangu nalipa nafasi ya kuitwa kituko cha jana.
1. TLP ina mgombea urais Bwana Lyimo. Sasa sijajua ni busara gani alizotumia Bwana Mrema Mgombea ubunge wa jimbo la Vunjo kumnadi Mgombea Urais wa CCM Magufuli na si Mgombea urais Lyimo wa TLP.
2. Ninatafakari ni busara gani alizotumia Mgombea Urais kumnadi Mgombea ubunge wa TLP jimbo la Vunjo wakati ana mgombea wake wa CCM.
3. Ninajiuliza kama ni muungano ni wa aina gani? Je! Lengo ni kuzigawa kura za UKAWA kupitia NCCR mageuzi kwa tiketi ya Mh. Mbatia?
4. Ninataka niamini kwenye siasa kuna vituko vingi kwanza vilianza vya matusi kupitia CCM vikaja vya kurukaruka, vikafuata mapushapu na sasa hili mwishoe mtasikia Mgombea amejiondoa kwenye kinyanganyiro dakika za mwisho heheheheeh.....
Vita yote hii ni ili tu UKAWA isipite kweli kazi CCM+TLP mnayo bora mjipange zaidi mmeonekana dhaifu na msio na mpango mzuri kwa kufanikiwa.

By Phil Mlay
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tazama USO wake utajuwa Mrema ni Mgonjwa

    ReplyDelete
  2. huyo sijui Mrema hafai hata kidogo ni unafiki tu huo,huwezi msapoti baba wa mji mwingine wakati baba yako yupo ni udhaifu hafai hata kuwa MBUNGE hiyo ni njia mojawapo ya kuwasaliti wapiga kura wake jimboni mwake

    ReplyDelete
  3. mrema hana wafuasi wengi, kwhiyo cyo tishio kwa UKAWA, hata akiungana na ccm hamna doa lolote!! kule tayari Mbatia kesha chukua jimbo, kwahiyo babu mrema anatafuta kula kwa kupitia ccm, akijiamini itashinda!!

    ReplyDelete
  4. We veepee?? Umetaja vituko vya kurukaruka na pushapu tu za Magufuli, mbona vituko vya Lowasa viwili tena vya ajabu vilivyo tokea stendi ya Chato - KUJINYEA na ktk mkutano wa Mbagala - KUJIKOJOLEA hukuvitaja?? au unajisahaulisha?? nakukumbusha ili uviongezee kwenye list yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha usenge wewe
      Mbona hamKupiga Picha Kama kweli
      Acheni umbea CCM

      Delete
  5. HUYU NI KAZI TU,KAONA MGOMBEA WA CCM SI MCHAKAZI KAMA MREMA.ANATAKA MABADILIKO NDANI YA CCM,HAMUELEWI?KWA UPANDE WA MREMA NI KWAMBA AMESHTUKA!ATACHAGUA MAGUFULI NDIO KAWASHAWISHI NA WATU WA JIMBO LAKE WAMCHAGUE MAGUFULI,KWANI KUNA UBAYA GANI.MUTAELEWA TU!

    ReplyDelete
  6. Mpango wanao ila wewe ulie andika habari hii njoo huna mpango. Hata mponde chochote kinacho fanywa na CCM hawashindwi ukubali usipo kubali oktober 25 utajificha na sijui utaandika habari gani tena kuhusu UKAWA. Na si ingine bali kuandika eti waliibiwa kura hehhehheehe nitawacheka.

    ReplyDelete
  7. Phil Mlay,kuna busara gani ku-edit picha zinazoshabihiana rangi na UKAWA mkadanganya uma eti ni nyomi ya mkutano wa Lowasa Arusha?kubalini basi jamani,kwani ukisema CCM hamuiwezi wakati kila kitu kiko wazi kuna shida?Sasa naamini asilia 95 ya wafuasi wa ukawa ni wasiojishughulisha,wanapewa viroba na wanadanganywa watamwagiwa utajiri,Eeeh Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete
  8. AIBU UKAWA.TUMEWASHIKA! Ingia aisha Dabo @twitter.
    www.Dakaractu.com.

    ReplyDelete

Top Post Ad