Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji Akatazwa Kuingia katika Chumba cha Kutangazia Matokeo ya Urais

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji amezuiwa kuingia katika chumba cha kutangazia matokeo ya urais katika ukumbi wa Julius Nyerere wakati zoezi hilo likiendelea baada ya kueleza kuwa ameleta hati ya pingamizi ya matokeo.

Hata hivyo walinzi wa eneo la kutangazia matokeo walimkatalia kuingia katika chumba hicho na kumtaka aende Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchguzi (NEC) kuwasilisha hati yake hiyo na kisha kusindikizwa kwenye gari alilokuja nalo lenye namba T754 DDY aina ya Toyota.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani duni hupajui makao makuu ya nec si ulienda kuchukua fomu na nyomi kubwaaaa

    ReplyDelete
  2. Dola haichezewi

    ReplyDelete
  3. Dola ya CCM tegemezi la bageti toka USA Na ulaya sasa tutawafundisha kuheshimu Watu
    Sisi tukale USA Na Europe tusasema yote kwa wanainchi walipa kodi
    Siyo uzushi it's true

    ReplyDelete
  4. DUNI KWANI WW ULITEGEMEA UTASHINDA MJINGA SANA WW

    ReplyDelete

Top Post Ad