Reality Tv show ya Idris Sultan kuanza kuoneshwa December BET, aeleza sababu za kuchagua kituo hicho cha Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama mipango ya mshindi wa Big brother Africa 2014, Idris Sultan ikienda vizuri basi dunia itashuhudia show mbili mpya za Tv za star huyo wa Tanzania kupitia channel ya Marekani- BET


Idris amesema moja ya show hizo ni reality show kama ilivyo ya kina Kim Kardahsian, KUWTK na Husbands Of Hollywood, na nyingine ni ya comedy.

Show hizo zitakua zikioneshwa kupitia BET na kituo cha runinga cha Vuzu.

Idris amesema sababu kubwa za kuamua kuichagua BET, ni kwasababu anataka kuingia kwenye soko la Hollywood kwa haraka.

Zimeshakuwa recorded na kila kitu, tulivipeleka mara ya kwanza wakatupa marekebisho ya kufanya…Kuna kama channel kadhaa ambazo zinaweza zikachukua.” alisema Idris kupitia 255 ya Clouds Fm.

Ameongeza kuwa mpaka kufika mwezi December show hizo zitakuwa zimeanza kuoneshwa na vituo hivyo.

Mpaka kwenye mwisho wa mwaka huu ndio zinaweza kuanza kuwa aired”.

Lugha itakayotumika kwenye show hizo ni Kiswahili na Kiingereza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad