Team Nimestuka Katika Ubora wao Kata ya Bulyanhulu, Kahama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku ya Jana Tarehe 09 October 2015 wasanii mbali mbali kutoka bongo Movie na Bongo flava walikuwa na  mkutano katika kata ya bulyanhulu, Kahama. Mkutano ambao ulihudhuriwa na watu wengi sana. Wasanii hao wameeleza sababu nyingi za kuwa fanya kumpa kura za Ndio Dkt. John Pombe Magufuli. Moja ya sababu ikiwa record yake ya uchapa kazi na Uadilifu. Baadhi ya wasanii hawa waliwahi kushawishiwa kujiunga na vyama vingine lakini baada ya kuchambua vizuri sera za wagombea wakaamua kumuunga mkono Dkt. Magufuli... Kauli mbiu yao ni Nimesikia, Nimechambua, Nimeamua... Kura Yangu kwa Magufuli
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawana jipya hao wasanii njaa ndo zimewajaa,mwaka huu mta tumika mpaka mkome,CD yenyewe inauzwa BUKU leo mmesahau nini CCM na hamna HADHI ya kuwashawishi wananchi mtabaki kutoa BURUDANI tu na sio kushawishi RAIA wenye upeo wao kuzidi nyie mlio jaa njaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulilolijua ni sawa na usiku wa giza,Ungejua nini hatma ya hilo ulisemalo ungefunga domo lako.Mtaumwa sana baada ya uchaguzi.

      Delete
  2. Wamestuliwa na nyoso

    ReplyDelete

Top Post Ad