Zitto Kabwe Achukizwa na Yaliyotokea Zanzibar ya Kufuta Uchaguzi..Atoa Kauli Kali..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KAULI  YA  ZITTO  KABWE  KUPITIA  AKAUNTI  YAKE  YA  FACEBOOK

"Tume kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar ni Kitendo cha kulaaniwa na wapenda demokrasia wote. Hii ni chanzo cha vurugu nchini. Kuna haja gani ya demokrasia sasa??"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli mkuu,wamwachie Maalim Seif aongoze kwa kuwa ni wazi wananchi wa Zenji wanaafiki.
    Ila kwa bara hata waulize malaika na kurudia uchaguzi kwa kuuliza kila mtu kwa kaya CCM itaibuka kidedea.Magufuli atashinda tu,amejiuza sana na amekubalika,anastahili kabisa, tuache ushabiki wa ili mradi CCM iondoke.Tumuombee tu.

    ReplyDelete
  2. wananchi wengi sana ndani na nje ya tanzania tunailaani ccm kwa njama hii iliyofanyika zanzibar si tuu ya kufuta matokeo,bali kuufuta ushindi halali wa mgombea wa cuf maalim siif sharrif hamad.sasa suali je hatma ya uongozi wa zanzibar kwa sasa itakuweje?pili tukubaliane kwamba rais mpya atakayeapishwa si wa jamhuri ya muungano wa tanzania bali ni wa sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania yaani TANGANYIKA.kwa hiyo rais atakayeapishwa ni wa tanganyika na kwa hiyo, TANgANYIKA IME KWISHA ANZA.

    ReplyDelete
  3. Kama yamekukera usiende kwenye kuapishwa magufuli

    ReplyDelete

Top Post Ad