Breaking News: Job Yustino Ndugai Achaguliwa Kuwa Spika wa Bunge la 11 La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua  mheshimiwa  Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania.

Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai  kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa.

Mh Ndugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi     Mbalimbali

Kura zilizopigwa-365
Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad