Breaking News:CCM Wamteua Job Ndugai Kuwania Nafasi ya Spika wa Bunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imemteua aliyekuwa naibu Spika wa Bunge la 10 Job Ndugai, kuwa mwakilishi wa chama hicho atakayegombea nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye atapigiwa kura na wabunge wa hapo kesho kuwania nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya chama hicho iliyotolewa na Dodoma kupitia Katibu wa Itikadi na Unezi, Nape Nauye, amesema Dkt. Tulia Mwansasu na Mbunge wa Afrika Mashariki, Abdulla Ally Mwinyi  waliamua kujitoa katika nafasi hiyo hivyo kumpa nafasi Job Ndugai kupita bila kupingwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani job si ndo yule mkorofi anayepiga watu na magongo, mkosefu wa ustaarabu na hekima ni kweli ccm ni ileile????.

    ReplyDelete
  2. Sasa wabunge lazima muchapwe

    ReplyDelete
  3. Khaaaaa! Kweli CCM hamjiamini huyo mpiganaji kwa kutumia silaha za jadi mtaani ndio mnaturudishia bungeni.

    ReplyDelete

Top Post Ad