Kama Umeona Picha Mbaya Kwenye Account ya Ray C Instagram, Kilichomkuta ni hiki..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumeenea picha mbaya na stori kuhusu Ray C na kilichotokea jana kwenye account yake ya Instagram, leo Soudy Brown kampata na kajibu yote ilivyokuwa.

Ray C amesema zile picha ni zake private ambazo alizihifadhi kwenye simu yake, lakini kwa bahati mbaya simu yake imepotea na aliyeiba simu ndio aliamua kuanza kupost picha alizokuta kwenye simu ya Ray C.

Ray C amesema alituma email kwa wamiliki wa Instagram ili waifungie account hiyo, lakini anaomba radhi kwa kilichotokea kwa sababu sio yeye aliyepost picha hizo.

Niombe tu msamaha maana sijui hata naanzaje kuelezea… naomba tu waelewe kwamba simu nimeibiwa na mtu ambaye amefanya hivyo namjua na nimeripoti Polisi.. naomba tu msamaha“- hii ni sehemu ya maneno ya Ray C alipokuwa kwenye U Heard na Soudy Brown leo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nashangaaaaaaaaaa rais mzima kikwete kumsaidia teja hili
    Wakati muhimbili, shule za dar jiji hazina wadawati
    Na kutamba ana majina ya wauza unga mpk kaondoka hajataja
    Shemmmmmmmmm you kikwete

    ReplyDelete

Top Post Ad