KIMENUKA: Aunty Ezekiel Amchana Wema Sepetu Kuhusu Kutokwenda Kumuangalia Mtoto Wake Toka Azaliwe..Toa Kiapo Kikali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KIAPO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwigizaji matata Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ kufunguka kuwa kamwe hatajihusisha kwenye ishu yoyote ya sherehe inayomuhusu staa mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’ isipokuwa kwenye tatizo la msiba unaomuhusu.

Kwa mujibu wa chanzo makini, Aunt hakuhudhuria kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Wema, iliyofanyika mwishoni wa wiki iliyopita kwa sababu shosti wake huyo wa zamani hajawahi kwenda kumuona mwanaye tangu azaliwe.

“Aunt hakuweza kwenda kwa sababu bado anachukizwa na kitendo cha Wema kutokwenda kumuona mtoto wake tangu amezaliwa kwa sababu hicho ndiyo kilikuwa kitu muhimu maishani mwake hivyo hata yeye hawezi kwenda kwenye ishu yake yoyote (Wema) ya furaha labda kutokee tatizo la kifo,” kilisema chanzo hicho.

Alipotafutwa Aunt na kuulizwa kama kweli ndiyo wamefikia hatu hiyo na Wema, alikiri kufikia hatua ya kutamka kauli hiyo kwani anashindwa kumuelewa shosti wake huyo ana kitu gani moyoni ambacho kimemfanya ashindwe kumtembelea tangu ajifungue.

“Nashindwa kumuelewa Wema sijui kuna kitu gani kikubwa kinachomfanya ashindwe kumuona mwanangu na sisi tulikuwa marafiki. Siwezi kwenda katika sherehe yake katika hali kama hii tuliyonayo labda kwa ishu ya msiba, nitaennda,” alisema Aunt.Kwa upande wake Wema alipoulizwa kuhusiana na suala hilo, hakuwa tayari kuzungumzia lolote.

Chanzo: GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo wema anataka kunyenyekewa Sana na marafiki zake, kwa kweli hajafanya vizuri, rafiki mzuri akujali kwenye shida na raha.

    ReplyDelete
  2. NDO MAANA ULIKUWA UNAFICHA MTOTO ULITAKA MPAKA WEMA AJE ? HAJI SASA . MWACHE NA MAMBO YAKE NA WE ENDELEA NAYAKO . WEWE JIULIZE MIMBA KAILEA WEEEE NINI MTOTO .

    ReplyDelete
    Replies
    1. nyie ndio wachawi zaa wako au kizazi umeshamalizia vyooni

      Delete
  3. amwambie Kajala akamuone si ndo rafiki yake? Wema kaamua kujiweka mbali kupisha msongamano.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa alimualika wenye bday yake ili iweje, acha ushakunaku WEMA anependa apapatikiwe wakati hana chochote.

      Delete
  4. huyu Aunt kama Domo, wasanamfanyia visa Wema akikaa kimya wanaanza lawama.

    ReplyDelete
  5. tashtiti zoote na kusema umemtunza laki 5 Zari, leo unamlaumu aje kumuona mwanao? huna haya Aunt.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha ha ha mpunguzage kujiuza, wanaume bado mnawapenda lakini mnaendekeza kundinywa hovyo na mibaba.

      Delete
  6. awaambie vizee wenzie Kajala na Zari wakamuone cookie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzee mama yako, vuzi la chuma ililiona?

      Delete
  7. Hahah Wema njoo KOKO atoke. Twataka ona nyago la bebi KOKO. Oops Kuki.

    ReplyDelete
  8. Aunt alifikiri ataalikwa kwenye part wa Wema, kaona jiiii kaanza na lawama.

    ReplyDelete
  9. KWANI ULISHIKA MIMBA KWA AJILI YA WEMA? MPELEKE KWA KAJALA MNAFIKI MWENZIO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. makahaba mishipa imewatoka kulilia penzi la X, ndio keshazaliwa baby girl he he he e he he he he mnalooooooo

      Delete
  10. Ataendaje kuona mtoto bibi bomba na yy ndo vile limebuma.......utashindwa hata kuadapt mtoto kwa roho mbaya unazoonyesha we bibi

    ReplyDelete
  11. Hapa Wema anaonewa. Ulijifungua mkiwa Na biff. Mmepatana za kijuujuu mara kampein zinaanza.

    OK yy kakosea hajaja Na wewe vip mbona hukwenda? Acheni mtoto wa watu aishi apendavyo mnajikomba wenyewe acha akukomeshe

    Na hapa unstafuta Kiki tu umeona ya gari haijahit unatafuta Kiki nyingine mtatembelea sana Nyota ya sepetunga ll

    ReplyDelete

Top Post Ad