Magufuli, Kama Kweli Unapinga Ufisadi Mteue Kafulila Kuwa Mbunge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Najua kwa mujibu wa katiba ya nchi najua una viti kumi vya Rais. Naomba sana umteue kafulila Kuwa mbunge ili dhamira ya kupinga ufisadi ifanyike kwa vitendo pia atakusaidia kukamata majizi na mafisadi yaliyotufikisha hapa na pia imani yako kwa watanzania itaongezeka maradufu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnatupeleka wapi nyie Wadaku kwani toka lini Kafulila kajiunga na CCM Mpaka awe na haki ya kuteuliwa awe mbuge kwa kumwakilisha nani basi hizi siasa zenu njaa mnataka kuifanya Tanzania haina mwenyewe mtuendeshe na siasa zenu za kidaku tumewachoka kampeni za uchuguzi zimekwisha fungeni mijadala ya kisiasa wacheni watu watafute riziki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pumbavu wewe

      Delete
    2. Mbona kikwete alimteua mbatia toka nccr, hili PIA lawezekana, rais anaweza mteua

      Delete
  2. Vp blogger umepewa pesa umpigie chapuo?zito,mnyika,lissu,na wengine wapo watamuwakilisha

    ReplyDelete
  3. Huyo kafulia ni nani mpaka ateuliwe kuwa mbunge? Ukiona kapigwa chini kwenye jimbo lake hafai kuwa mbunge swala sio kufichua mafisadi tuuu,,,, jimboni kwake kawafanyia nini wanachi wake? Acheni siasa za maji taka campeni isha isha watu waendelee na maisha yao.

    ReplyDelete
  4. Huyo kafulia ni nani mpaka ateuliwe kuwa mbunge? Ukiona kapigwa chini kwenye jimbo lake hafai kuwa mbunge swala sio kufichua mafisadi tuuu,,,, jimboni kwake kawafanyia nini wanachi wake? Acheni siasa za maji taka campeni isha isha watu waendelee na maisha yao.

    ReplyDelete
  5. atusumbue kama alivyotusumbua mwenyekiti wake....
    Hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  6. atusumbue kama alivyotusumbua mwenyekiti wake....
    Hatumtakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe

      Delete
    2. wewe ndo msenge labda kama hujijui

      Delete
  7. mhhh sasa jamani wewe mtoa wa post hivi unaposema ndio amteuwe kwa lipi na sababu zipi

    ReplyDelete
  8. Hapo hakuna mpinga ufisadi wala nini, wapinzani wote ni WANAFIKI.... wao ndio walotuambia kwamba Lowasa ni FISADI, na ndio haohao tena 'wakampachika' kugombea urais kupitia vyama vyao....kumbe FISADI akiwa CCM tu basi....., hata Mbatia ameshapoteza mvuto wake kwa sababu hiyohiyo ya unafiki wa kukumbatia mafisadi.......MARUFUKU KUMPA 'MNAFIKI' UBUNGE WA CHEE.........

    ReplyDelete

Top Post Ad