Maneno ya Masanja Baada ya Kushindwa Kura za Maoni Ludewa..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

List ya mastaa wa Bongo Tanzania ambao walijitosa na kujipanga kwenye foleni ya kuusaka Ubunge iliongezeka baada ya mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji nae kujitosa kwenye foleni hiyo.

Masanja alithibitisha kwamba kazi ya Ubunge anaiweza   “Orijino Komedi ipo, mimi sio member wa kundi, mimi ni mwanzilishi.. siwezi kuacha Komedi, mbona nilikuwa Mchungaji na sikuacha Komedi.. nitakuwa Mbunge, Komedi na Church…” Hii ni siku chache zilizopita kwenye exclusive interview na millardayo.com pamoja na  Amplifaya.

Kura hazikutosha kwake, maana yake ni kwamba kwenye Kura za maoni upande wa makada wa CCM Ludewa, Masanja hajafanikiwa kupita… lakini aliahidi pia hata kama akishindwa bado ataendela kumpa support yule atakaepita.
Kwenye ukurasa wake wa Twitter, Masanja ameandika haya kukubali matokeo  “Ludewa ….. Dah! Najipanga nitarudi tena. Sasa ni muda wa kumpigia kampeni aliyepita ili akatuwakilishe Bungeni. HapaKaziTu”  @mkandamizaji

Kwenye ukurasa wake instagram ameandika
Jamani uchaguzi wa kura za maoni umeisha.
nimepata kura jumla kwa zoooote ukihesabu nimebeba jumla kabisa kabisa kura ukijulisha vizuri kabisaaa utulie nimepata kura hiziiiiì 19

Udaku Specially
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Masanja wewe ni star mkubwa Tanzania lakini kwenye suala la kujitolea kwenye jamii huwa hushiriki kabisa,tunaona wasanii wengi wanajitoa kwa yatima,vikongwe,kwenye maafa n.k hata mara mojamoja lakini kusema ukweli huwa huonekani,na hii nikusema uko kimaslahi zaidi,na kwa hali hiyo hufai.JIPANGE.

    ReplyDelete
  2. Kumbe akina Gwajima mko wengi eeh!

    ReplyDelete

Top Post Ad