Mugabe: Raila Odinga Akikanyaga Zimbabwe Nitamkamata Na ‘Kumhasi’ ......Alichokifanya Tanzania Kinatosha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amemshambulia kwa maneno makali mwanasiasa mkongwe wa Kenya ambaye pia ni kiongozi wa chama cha CORDS huku akimpiga marufuku kukanyaga ardhi ya nchi hiyo.

Akizungumza huko Marondela katika hafla iliyowahusisha wanajeshi walioshiriki katika vita mbalimbali, Mugabe alimtuhumu Raila kwa kutaka kumpindua kwenye nafasi yake kwa kuwapandikiza wapinzani nchini humo.

Hivi ndivyo alivyosema:
“Raila Odinga ni mwanasiasa muongo wa Kenya, mwanaume mnafiki ambaye yuko katika mkakati wa kuwapandikiza marafiki zake kuwa marais kwenye nchi zote za Afrika ili awe mwenyekiti mwenye nguvu kwenye Umoja wa Afrika (AU), siku moja watamuangusha kwenye sanduku la kura.

“Angalia alichokifanya Nigeria, Tanzania, Ivory Coast na anataka kufanya hivyo pia Uganda kwa kumtumia rafiki yake Kiiza Besigye ambaye leo anapewa sifa na ushupavu ambao anapata kutokana tu na amri za Raila barani Afrika.

“Hapa hatutamruhusu kuwageuza marafiki zake wa zamani Tendai Biti na Morgan kuniondoa mimi, hakuna kwa namna yoyote. Nitatawala kwa miaka 90 zaidi. Nimekiamuru kikosi maalum cha jeshi kuangusha ndege yoyote itakayokuwa imembeba huyo mwendawazimu Raila na kundi lake la mipango ya uchakachuaji wa kura dhidi ya marais wanaoendelea kutawala Afrika.

Nimewaamuru walinzi wangu kuhakikisha wanakuwa makini kuhakikisha Raila hajipenyezi bila kubainika.

Tutashindwaje kukosa usingizi kwa sababu tu ya Raila, yeye ni kitu gani? Tutamkamata na kumhasi kabla yeye na timu yake hawajamsaidia Morgan na Biti kunipindua kwenye Urais.”

Hii sio mara ya kwanza kwa Mugabe kushambulia Kenya kwa maneno, wiki chache zilizopita alidai kuwa wananchi wa Kenya ni wezi kutoka damuni na kwamba anadhani wanasomea shahada ya wizi. Alitahadharisha wananchi wake kutokubali kukaa karibu na wakenya kwa madai kuwa wanaweza kuwaambukiza wizi.

Mwezi Juni mwaka 2008, Raila Odinga aliwasilisha pendekezo lake mbele ya Umoja wa Afrika akitaka Umoja huo kumsimamisha uanachama Rais Mugabe hadi pale atakaporuhusu uchaguzi  huru na wa haki nchini kwake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MWIZI MKUU RAILA ULILETA MAJIZI MAWILI MAYFAIR PLAZA KUUNGANA NA CCM- MAKAMBA IT THREAD KWA UPANDE MMOJA NA KAILIMA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA UPANDE MWINGINE.MMEWAIBIA WANANCHI WA TANZANIA USHINDI WAO,CHAGUO LAO.RAILA NI MSHENZI,MSHENZI MSHENZI WA KUTUPWA,MWIZI JAMBAZI.SI UNAONA AMEIINGILIA UGANDA SASA.

    ReplyDelete
  2. Tupe habari zenye utafiti wa kina, siyo hizo bla bla!

    ReplyDelete
  3. @1:22 Is empty headed and nincompoop!

    ReplyDelete
  4. bla-bla eeh mwizi mkubwa wewe,tena jambazi sugu la kisiasa.kwa miaka mitano ijayo utatembelea vidole.wabunge wa ukawa watakufanya ubadili safu kama huna akili nzuri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani kwa upumba wewe unaongoza kwa kitu gani hasa cha kubadilisha safu kwa ajili ya ukawa? Pumbavu kabisa wewe na huna lolote ni sawa na mbwa anayechakuwa kwenye uchafu jiangalie kwanza, jipime harafu jitathimini kabla hujaandika kitu chochote

      Delete
  5. Nape na Makonda

    Mzee Mugabe

    ReplyDelete

Top Post Ad