Nina Wasiwasi na Naibu Spika Kama Atalihimili Bunge Hili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sina wasiwasi ni elimu yake wala uwezo wake wa kujieleza, ila nina wasiwasi na hekima yake na busara zake kama zinaweza kustahimili mikiki mikiki ya bunge kama alivyoonyesha Anne Makinda.

Nafikiri wote tunaujua uwezo wa Prof. Muhongo kielimu lakini alifeli somo la hekima.

Najua bunge lina sheria zake kanuni zake miiko yake na desturi zake, lakini ni mara ngapi tumeona sheria zikikiukwa na wabunge wenyewe.

Kama tukisema yeye atakuwa "Iron Lady" kuwa kila mbunge akikosea anamhukumu kulingana na kanuni atafukuza wangapi, naje kama atafukuza karibu nusu ya wabunge ataonekana ni Naibu Spika mzuri au kiti kimemshinda.

Tuchukue mfano wa refa wa mpira wa mguu anayewatoa wachezaji kwa red kadi kila wanapofanya rafu, hivi timu ikibaki na nusu ya wachezaji huyo refa atakuwa bora?

Najaribu tu kumwangalia huyu Naibu Spika asije siku moja akatoa machozi kwa kuzomewa au kuulizwa maswali ya kuudhi akakiaibisha kiti.

Namuomba sana Spika Job Ndugai ajaribu kumsaidia msaidizi wake.

Tujadili kwa mstakabali wa nchi yetu.

By QuinineJamii Forums
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMEANZA!HATA SIKU MOJA USIUSEMEE MOYO WA MTU,HATA OBAMA WALISEMA MENGI WAKATI ANAINGIA MADARAKANI NA ANAMALIZA MUDA WAKE.CHUKI PELEKA HUKO,TUNATAKA TANZANIA KWANZA.

    ReplyDelete
  2. Only God knows.

    ReplyDelete
  3. Mmmh! hebu tusubiri tuone itakuwaje, maana ilibidi anyamaze na kuwasikiliza wapinzani walipokuwa wanapiga kelele badala ya uendelea na majibu yake. Hatahivyo mwanzo siku zote huwa mgumu, atajifunza na kuelekezwa na Spika ambaye ni mzoefu, nadhani atakaa sawa..........

    ReplyDelete
  4. Wewe nae toka huko na mapovu yako.

    ReplyDelete
  5. nilijua umeongea ya maana ungesema ni wapi kakosea au wapi ambapo hekima haijatumika skuingine ukitaka kuandika tumievidence hata kazi haja anza wewe ukejuaje kama hana hekima ambao hawana hekima ni ukwa wenyewe kila kitu wanapiga kelele kama watoto kila akitaka kuongea wanazomea watu wazima ovyoooooooooo ngoja tuone tena ujinga wao walio upanga kwa MH rais ona walivo wajinga mtumwenye akili timamu hawezi kuwa sifia ukawa kwa ujinga wanao ufanya hatujawapeleka huko kuzomea watumie hekima waulize na wewe mtoa mada tumia akili ya kuelewa sio unashadadia2 hata penye ujinga

    ReplyDelete

  6. Siasa intataka kuvumiliana vinginevyo mpaka hapo na wewe anony 2:19 umeshazazomea na kutukana pia. Kama wewe unachukia watu kuzomea na wengine pia wanachukia kuona ubadhilifu na uwekezaji usio na tija unaofanywa na serikali bila kujali madhara yanayowapata wananchi!! We mjibu mtu kwa hoja na si vitisho kwani ukiona serikali inayoongoza imekishinda chama kingine kwa robo ya wapiga kura there is no way unaweza kuwaongoza watu bila kukupinga.

    ReplyDelete

Top Post Ad