Picha na Video za Tukio Zima la Rais Magufuli Alipofanya Ziara ya Kushtukiza Leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Rais John Magufuli leo amefanya ziara ya ghafla katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa lengo la kujionea uhalisia wa huduma inayotolewa.

Kama ilivyokuwa alipofanya ziara ya kushtukiza katika Wizara ya Fedha wiki iliyopita, Rais Magufuli alikutana na viongozi wa hospitali hiyo na kuongozana nao katika maeneo ambayo aliyachagua yeye.

Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini.

 Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili sasa, ilihali mashine kama hizo katika Hospitali za binafsi zinafanya kazi na wagonjwa wanaelekezwa kwenda kutafuta huduma huko



hhhhh
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais wetu mpya tunakuombea kwa m/Mungu aendelee kukuongoza na uendelee na utendaji wako mahiri. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. Mnaipata ukiwa Magufuli hana deni isipokuwa kaanza mara moja kuwatumikia wananchi ndo wanaomdai haki zao za kimsimgi je Edo angeweza kufanya hivyo kabla kwanza ya kurudisha madeni ya pesa za walio mfadhili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mungu ameona hilo na ndio maana ametupa Magufuli aongoze nchi.Mungu wetu tunakuomba umlinde rais wetu.

      Delete
    2. thubutuuuuu, kwanza hiyo nguvu ya kutembea anayo..........tunamshukuru Mungu kwa kutuepusha na lile 'janga'

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad