Wema Sepetu, Adai Lowassa Angeshinda Urais wa Tanzania Ingebidi Ahame Nchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maneno kuntu! Staa mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Isaac Sepetu amefungua kinywa chake na kusema kuwa endapo Mgombea wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa angeshinda kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi uliopita, bila hiyana yeye angehama nchi.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Wema alisema kuwa anamshukuru Mungu kuwa anasubiri kwa hamu kuapishwa kwa mshindi wa nafasi hiyo, Dk. John Magufuli ambaye anamuamini ni mchapakazi asiyekuwa na urafiki na mtu mzembe.

“Sifichi, kweli kabisa Lowassa angeshinda, bila ubishi ningehama nchi yangu niipendayo,” alisema Wema.
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh hongera kwa msimamo wako kama kweli unatoa moyoni kwa dhati na sio kwa kuwa Magufuli kashida,maaana ingewezekana kabisa kuona au
    pengine yangejirudia yale ya-LOWASA CHADEMA,OVER MY DEAD BODY!

    ReplyDelete
  2. Angehama kwa hela ipi ha ha ha ha, hapa bongo tu hana kitega uchumi halali!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani eeh huyo kura 90 angehamia kwa mNamibia alieuziwa mbuzi guniani. Tena ungeisaidia TZ kwa kuhama. Umepata vihela vya ruzuku na kufanya kipati ushuzi unajiona star. Star anakaaga mwananyamala? hahaha. Tasa kurubembe dungalienge na mkorogo wako unaotaka kukuua.

      Delete
    2. Angehama kwa hela ya kuuza pampucha na mk*nd* kama kawaida yake. Malaya mbovu asiejitambua. Tutolee shombo zako hapa.

      Delete
  3. Aache ulimbukeni kwani kuna ulazima gani kuongea kama hana la maana. Kwa nini asiyatamke hayo kabla ya uchaguzi kama kweli alikua na uhakika na kinachoendelea. Masikini hawajui hata kujitetea hata rais mteule hajaapishwa wameshaanza kununua magari na sherehe zisizo na faida. Wema na wenzake wanaojiita mastaa mtajitetea vipi mbele ya jamii kwamba hamku nunuliwa? Wasaliti nyie kumbe mliwadanganya wengi. Mara timu wema, timu kushtuka, sijui timu nini. Muwakatie na wao huo mgao, sio mjinunulie wenyewe magari ya mamilioni ya shilingi halafu timu zenu hata nauli ya dala dala hawana.

    ReplyDelete
  4. Nakuunga mkono bi'dada ingebidi uhame nchi, kwa kampeni ile ya shuka-kwa-shuka, hivi ungeuweka wapi uso wako?? Ungekuwa mdogo kama Jackline Wolper Lowasa.......KIMYAAAAA kama hayupo..tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  5. ulitaka akutangazie ana kitega uchumi gani Anony 3.04 PM wacha ungese

    ReplyDelete
  6. Ama ata Leo hutupunguzii pumzi za kupumua mana umeshatuchosha na ujinga always akili za kitoto na majivuno yasiyokuwa na tija

    ReplyDelete
  7. Ahame nchi kwa lipi hasa,

    ReplyDelete
  8. Wema sema utakacho, huwaombi pesa wala maisha, waache wapate stress.

    ReplyDelete
  9. who cares kama angehama nchi?labda mama yake.

    ReplyDelete
  10. Lowasa ni binaadamu kama walivyo binaadamu wengine ana haki ya kuwa vyovyote kama Mungu atakavyomuandikia huna sababu ya kusema uhame baada ya kutafuta mume akakuoa unaongea pumba

    ReplyDelete
  11. Edward Ngoyai Lowassa ndiye MSHINDI HALALI WA KURA ZA URAIS 2015 sema tu MACCM wamemdhulumu. Lakini Mungu yupo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. una akiri za chura nyambafu

      Delete
    2. Mungu yupo na ndio maana akashindwa, alitegemea pesa na u-freemason wa akina gwajima, nguvu za Mungu zimeonekana...........PIPOOOOOOZZZZZZZ PPWAAAAAAAAAAA

      Delete
  12. Ana kichokoraa Nambia lakini kila kukicha anakumbuka mdude wa Nasibu
    Chezea bongo wewe na kampeni ya CCM alichunda bibi hakuna aliyemgusa na gari daganya toto eti kiwanja watu kwa uongo

    ReplyDelete
  13. kweli wema bado mtoto mdogo!!!!! kumbuka bado unahitajim kuishi na maisha ni popote na kuishi na yoyote!!! je unajua hatma yako utakuwa wapi na utaishi na nani? na utakuwa na maisha gani? acha kuchezea maisha bado una mwendo mrefu, achana na kauli hizo wala hazimpendezi mwenyezi mungu. RUDISHA HIYO KAULI YAKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad