[Audio] Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli

January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli
Picha hii inaonyesha   sokwe mtu wakiwa wamevalia suti  na  huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yakePicha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee 
 Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu ) 
  
Msikilize January Makamba akiongea hapo chini
NAFASI ZA KAZI

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo bwege huyo anatafuta Kiki Na dizain roho imemuuma kuukosa uwaziri mkuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi kweli alikuwa anataka uwaziri mkuu kama ndivyo basi akapimwe akili maana hakuna namna sasa

      Delete
  2. Dogo ana ndoto za alinacha!
    Hili ndilo tatizo la kubebwa bila ya kuwa na akili za kuzaliwa.

    ReplyDelete
  3. Yaani mtu awezaje aingie kwenye akaunt ya mtu afanye aliyoweza kufanya kama hujaweza kupost???????

    ReplyDelete
  4. huyu jamaa ni mmoja wa watanzania wanaoamini tz ni yao tu na ndo wenye uhalali wa kuifaidi,acha,acha kabisa dogo watanzania tumechoka na swaga hizo za kipolitiki

    ReplyDelete
  5. Jamani comments zenu ni nzuri lakini hebu,tuwe na vyanzo sahihi maana mitandao ya kijamii siyo ya kuamini asilimia mia. Nimesikiliza vizuri kwenye mahojiano na mtangazaji na kubaini kuna watu hasa upande wa oppositon au ndani ya chama chake wanataka kumuaribia future yake January. Bado mimi naamini January ni kijana mahili na makini ktk siasa za Tanzania na ndiyo hazina ya uongozi wa baadae na ukweli hata viongozi wa juu wanaona. Jaunuary usikate tamaa tupo pamaoja jembe letu. ALUTA CONTINUA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad