Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa Laivu, Dkt. Slaa Amtaka Gwajima Awaombe Radhi Maaskofu Pamoja na Watanzania.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa, Dkt. Slaa amtaka awaombe radhi Maaskofu pamoja na Watanzania.

Asema hakutegemea Askofu Gwajima kumkana hadharani Lowassa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Gwajima ni kama malaya

    ReplyDelete
  2. sionni tofauti yako silaha na gwajima, wote wanafiki tu we silaha ni padri na mwenzio pastor, japo wewe silaha ni noma zaidi uliukana upadri ukamchumbia mafyambuzi,uliukana ukatibu ukawa kibaraka wa chama fulani, ulikana kuwa mwanasiasa ukakana haki ya kupiga kura. na sasa unamtaka rafiki yako aombe radhi kwa kumkana luwasa,, mbona we uombi radhi kwa uliyoyafanya mbinguni na duniani.?? ondoa boriti kwanza ndipo ukione kibanzi cha mwenzio mnaboa sana jamii wote wawili ni shidaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad