James Lembeli Apeta Kesi ya Kupinga Matokeo Jimbo la Kahama..Sasa Njia Nyeupe Kwake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kushoto ni aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Kahama Mjini James Lembeli (Chadema) akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Juma Protas wakitoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga leo asubuhi baada ya kushinda maombi yao ya kuomba kupunguziwa gharama za kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi uliompa ushindi Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini,Jumanne Kishimba ambapo Lembeli alipaswa kulipa shilingi milioni 15 na badala yake Mahakama imemtaka kulipa Shilingi milioni 9 ndipo kesi ya msingi ianze kusikilizwa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUKO KUPETA MBONA SIJAKUONA

    ReplyDelete
  2. HAKUNA MWANASIASA ANAEKUBALI KUSHINDWA KIRAHISI KWENYE UCHAGUZI KUITWA MHESHIMIWA NI KAMA KILEMA NDIO MAANA HATA MTU KAMA LEMBELI ALIESHINDWA KIHALALI BADO ANAKOMAA KUTEST SO TO HELL ACHA WANANCHI WATUMIKIWE NA MTU WALIEMCHAGUA.TENA KOTA WEWE KAMA SIO LAFA

    ReplyDelete

Top Post Ad