MREMBO Gigy Money Amtambia Wema Sepetu Kwa Kumzidi Kalio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII anayechipukia kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ‘amejivua’ akili kwa kumtambia staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu kuwa si chochote kwake kwani hawezi kumfikia kwa umbo lake hususan kalio.

Akipiga stori na kona ya Bongo Movies, Gigy ambaye pia ni ‘muuza nyago’ kwenye video za Kibongo alisema kuwa ana kila sababu inayomfanya kujitambia kwa umbo lake ambalo linawateka hasa wanaume wakware.

Kuna siku kwenye kipindi kimoja cha runinga tulishindanishwa kati yangu na Wema nani mwenye kalio kubwa nikamfunika, hicho ni kigezo cha kwanza kuwa nina uwezo wa kumpoteza na sehemu nyingine,” alisema Gigy. Source:Global Publishers
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wote malaya hawa

    ReplyDelete
  2. Duh! Kama ni huyo hapo juu mara mil moja ya Wema. Umbo utadhani mapango ya Amboni

    ReplyDelete
  3. Hana mvuto huyo, wanaume wanaomtaka ni wale washamba wasojua utamu unapopatikana.

    ReplyDelete
  4. Dada Gigy ahsante umeumbika mungu akujalie,kwani kila atakae kuwa na wewe hawezi kupatwa na STRESS ur among of Stress management.

    ReplyDelete

Top Post Ad