Mwanamikakati wa Lowassa Ahusishwa na Wizi Mkubwa Stanbic

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Bw. Bashir Awale Kulia Mwenye Tshirt ya Njano Akisalimiana na Lowassa
Siku chache baada ya uchaguzi serikali ya Tanzania ilimfukuza mtu aliyejulikana alikuwa mashauri wa Kimkakati wa Mgombea Urais kupitia Chadema, Bw. Bashir Awale (Mkenya ashikiliwa na Polisi nchini TZee kwa kumpigia debe Lowassa kipindi cha campaigns), kwa kuishi kimakosa nchini. Pia, ilijulikana kuwa kabla ya kuanza kujihusisha na siasa, hasa kuwa mshauri wa Ndugu Lowassa katika kuusaka urais alikuwa mmoja wa Maofisa Wandamizi wa Benki ya Stanbic.

Katika sakata linalohushisha benki ya Stanbic kufanya udanganyifu mkubwa wa kujipatia fedha na kushitakiwa na Idara ya Makosa ya Uingeleza huyu jamaa katokea. Na imeonyesha alifukuzwa katika wakati huu baada ya kufanya wizi huu kwa kushirikiana na ndugu wa karibu wa Lowassa na aliyekuwa Miss Tanzania 1996, Shose Sinare.

Kwa mjibu wa serikali, tayari uchunguzi umeanza kufanyika ili kubaini aliyefaidika na pesa hizo. Aidha, hukumu iliyofanyika jana imeamuru serikali ya Tanzania kulipya dola 6M na Stanbic kama sehemu ya hela iliyoibwa.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wahujumu TZ ni wengiiii mmeng'ang'ania Lowasa tu. Wengine bado mnao kwenye Bunge. Fanyeni haki wahujumu wote wajulikane na ushahidi ukiwepo warudishe pesa. Tena suala la Stanbic nisioveride mambo mengine tunayon goja. Mikataba mibaya, nyara, nyumba za serikali nk.

    ReplyDelete
  2. LOWASA NI MWIZI PIA ALITOA PESA WAPI ZA KUNUNUA CHAMA

    ReplyDelete
  3. Na kwa nini alikuwa anataka urais kwa nguvu zote bila hata kujali afya yake?Majibu ndio hayo sasa.Hawezi kuthubutu kusimama kuomba kuongoza nchi 2020 labda kama kwa kumtegemea yule mfufua misukule amdanganye tena,Kuhusu chama ,ni kwamba hakina mvuto tena na yule mzee wa kubadili gear angani atajutaaa kuuza chama.HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maneno yako swadakta, hebu chukua Mult hapo dukani nitalipa

      Delete
  4. Najaribu kuvuta hisia kama hawa ndio wangekuwa madarakani sasa,Mweee!
    Mungu asante kutuokoa na..............

    ReplyDelete
  5. Hivi kampeni bado zinaendelea?kama hapa kazi basi tufanye kazi.

    ReplyDelete
  6. NA BADO LAZIMA HUYO LOWASSA AFIRISIWE KILA KITU, YEYE AMEKUWA NANI NA PESA NYINGI HIVYO YEYE AMEZIPATA WAPI ? TANZANIA HII SIO MAREKANI, MWENYEWE KILA SIKU ANASEMA ANAUCHUKIA UMASIKINI NDIO MAANA ALIKUWA ANAIBA SANA PESA ZA SERIKALI SWAIINI ATAIPATA SASA FRESH YA KUKU KUKIMBIA BILA KUTOKA JASHO.

    MALAYA WA KUPENDA MADARAKA, MTAKIONA SASA ,NA HIO MAHAKAMA YA MAFISADI LINI INAANZA?

    ReplyDelete

Top Post Ad