Ufisadi Mwingine Wa Bilioni 48 Waibuliwa Bandarini .......7 Watiwa Mbaroni, 8 Wanasakwa na Jeshi la Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali imepoteza jumla ya Sh48.47bilioni baada ya makontena 11,884 na magari 2,019 kupitishwa badarini Dar es Salaam bila kulipiwa kodi.
  
Hata hivyo, jumla ya watu saba wanashikiliwa na wengine nane wanatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kuhusishwa na ukwepaji kodi huo uliolikosesha taifa mapato.
  
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawaamesema ufisadi huo umebainika baada ya serikali kuzifanyia ukaguzi bandari zote za nchi kavu (ICDs) jijini Dar es Salaam.
  
Akifafanua, Waziri Mbarawa amesema makontena hayo 11,884 yalikuwa na thamani ya Sh 47.4 bilioni wakati magari gari 2019 zenye thamani ya sh 1.07bilioni yalitolewa bandarini pasipo kulipiwa tozo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh!! basi haya da.... dili dili diliii mtindo mmojs ds!!!

    ReplyDelete
  2. Ndio tusiojua mchezo huu tulikuwa tunapata shida! duh jamani maana tulikuwa tunajiuliza mbona ukiagiza gari ushuru wake mkubwa hivi? kumbe kuna watu wanakwepa kulipa kodi hatimaye wanasababisha wachache wenye nia mbaya na nchi hii ....basi jamani inauma sana Mungu wape afya njema wale wote wanaosimama kwa niaba ya watanzania wengine

    ReplyDelete
  3. CCM haniingilii kichwani kuubuwa utawala wa awamu ya nne nje nje
    Kwani hamna vikao
    Kwani rais alikuwa hashauriki, tusitake sifa nyote mlikuwa huko huko inawezekana mmeisha clean Mali zenu sasa mnaanza kubwata
    Kama mliona hafai mbona mlibakia madarakani?
    Waliochoshwa Na ufisadi walihama CCM

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousDecember 30, 2015 at 3:18 AM
      Kashfa zingine
      Mfungeni basi huyo aliyeleta yote haya
      Lakini wema wake Na upole umemponza
      Kwani aliwachaguwa nyote hamkumshauri
      Ni aibu leo kutoa uozo wake

      Delete

Top Post Ad