Kasi ya Magufuli ya Hapa Kazi tu Yasababisha Mrembo wa Bongo Movies Kuyakataa Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa Bongo movies Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amesema katika kipindi hiki cha kasi ya Rais John Magufuli, hana muda wa kuhangaika na mapenzi, badala yake yeye atachapa kazi tu.
Akizungumza na gazeti hili, msanii huyo alisema kumekuwa na wimbi kubwa la wezi wa mapenzi wanaotumia fedha, lakini kwake ni bora ajibidishe kivyake ili apate chake halali.
“Mimi naona kabisa hapa Bongo hakuna mapenzi, kuna usanii tu, kila mmoja anajidai yupo kwenye mapenzi kumbe utalii, ninachojua mimi hapa ni kazi tu mapenzi nchi za watu,” alisema.

Toa maoni yako

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani lazima uongee? huna lolote ndio umeanza kujitangaza hivyo, biashara matangazo,umeona unyanyue mguu kabisa wateja waone utupu wako uliochoka kwa kukazwa ovyo. acha umalaya.

    ReplyDelete
  2. yani kuna wasani wengine hawana effect kabisa katika jamii yani hawana ushawishi kabisa sasa wewe mwandishi umeacha vitu vya maana vya kufatitila umeenda fanya mahojiano na msanii kama huyu
    pumba kabisa hata hajulikani kazi yake ya sanaa kaanza lini?
    hana hata kazi iliyobamba sokoni zaidi ya kuuza nyago na kupaka mkorogo
    ila sishangai hii ndo tanzania mtu anapaishwa hata kwa kufanya upumbavu eti msanii mkubwa ana ukubwa gani sasa huyo?
    jifunzeni kuandika habari zenye ushawaishi, andikeni watu ambao watawapa watu motisha sio mnaokotaokota tu malaya na kuwapa airtime
    cheki ndo maana comment hakuna coz ni pumba tupu umeeka apo juu

    ReplyDelete

Top Post Ad