Kujichubua Kwa Wanaume ...Picha za EX wa Zari na Ray wa Bongo Movies Kabla na Baada ya Kujichubua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan Kabla na Baada ya Kujichubua

Mwigizaji wa Movies za Kibongo Baada na Kabla ya Kujichubua.

Je Kuna Uzuri ama faida yoyote kwa Mwanaume kujichubua au ni ulimbukeni!!!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo maswali yako tunakutuma ukawaulize mwenyewe hao wanaume wanaojichubua halafu uje utupe taarifa.Sawa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaha. Ni kweli kabisa

      Delete
  2. Diamond anawatumia. Hata ye mwenyewe anajichubua.

    ReplyDelete
  3. Weka NEWS zenye msingi, hayo mambo ungewauliza wenyewe what they after!!!

    ReplyDelete
  4. Kajicbua afanane na tiffah teh! teh!

    ReplyDelete
  5. Hata huyo catlena Jena bi zari anatumia Botox za usoni Na macrem haleluyah mimboni Leo blue kesho grey fyuu mwibie domo asiyejua kupambanua mambo

    ReplyDelete
  6. Mbona wengi
    Angalieni waziri mkuu Na mkewe pia
    Mkorogo mzuri
    Utaujuwa angalieni mikono Yao tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kama mkaaa

    ReplyDelete
  7. lakini mbona watanzania washamba sana kiasi hicho ? kaeni mkijua dunia yote mastar wanatumua bleaching cream, wataonekana vipi kama hawana mvuto wa kumelemeta`. Hata wazungu kwa taarifa zenu wanatumia mkorogo,hata wahindi na waarabu wanatumia mkorogo ili wa shine.

    MATATIZO YENU WOTE MNAOLALAMIKA HATA SENTI HAMNA NDIO MAANA MANENO MENGI SANA KWA SABABU NYOTE HAMNA SHUGHULI ZA KUFANYA KAZI KUMIND MAISHA YA MASTAR,WANAUWEZ0. MARA NYUMBA YA MASANJA ,MARA JOKATE , MARA LULU. MAKUBWA NENDENI MKALALR KUTAFAKARI MAISHA YENU

    ReplyDelete

Top Post Ad