Magesa Mulongo: Dr. Faisal ni 'Msomali' anayeishi Tanzania kwa uraia wa kutatanisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye chanzo cha ugomvi kati ya mkuu wa mkoa wa Mwanza ndugu Magesa Mulongo pamoja na aliyekuwa msaidizi wake mkuu kwenye masuala ya kiutawala Dr. Faisal ambao ulipelekea Dr. Faisal kufukuzwa kazi na rais Magufuli kimebainika.

Ilielezwa awali kuwa kulikuwa na ugomvi ambao kulipelekea Dr. huyo kufukuzwa kazi kati yake na mkuu huyo wa mkoa. Vyanzo vyangu vimefanikiwa kudodosa kwa Mulongo kuwa Dr. Faisal ni nani hasa ambapo Mulongo amefunguka bayana kuwa Dr. Faisal ni raia kutoka Somalia anayeishi Tanzania kwa uraia unaotia shaka!

Ndugu Mulongo anakiri kuwa walitofautiana ndani ya kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha mkoa ndipo akaamua kumporomoshea Dr. huyo lugha za ubaguzi kuhusu uraia wake. Aidha uchunguzi wa kina unabaini kuwa viongozi hao wawili walikuwa na ugomvi wa muda mrefu kiutendaji kutokana na ndugu Mulongo kumtuhumu Dr. Faisal kuwa ni mfuasi wa Edward Lowassa na alifanya naye kikao cha pamoja mwezi wa sita mwaka jana!

Maneno ya kibaguzi kwa ndugu Mulongo yanakuja siku chache sana baada ya ujumbe wa kibaguzi kutolewa kutoka kwa wana UVCCM Zanzibar waliotoa ujumbe "CHOTARA HIZBU, ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" ambapo ujumbe huo ulitafsiriwa kama ubaguzi kwa Wapemba wenye asili ya kiarabu waishio visiwani humo.

Source;Jamii Forums

Udaku Special Blog
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaaia wake unatia wasiwasihakuna haja ya kuendelea kushikiria nafasi nyeti kama hiyo. Ndiyo maana wengi wana wasiwasi na mtazamo wa Lowasa kuhusu taifa hili. Hata huku TRA ndiyo waliokuwa wanampa jeuri kwenye kampeni zake kwani hata uteuzi wao alikuwa mshirika mkubwa wa kuweka watu wasi watanzania kushika nafasi za nchi yetu, Huyu mtu CHADEMA na UKAWA kuwa macho na mtu huyu ni hatari na anaweza kukumbwa na uhaini ikawa kashfa ya aibu. Kuna makundi ya kihalifu yanaanza kujitokeza chanzo ni yeye ila awe macho kwani ameishajulikana move zake.ALUTA CONTINUA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio maana uhalifu unazidi kuwa sugu.
      Hawa UKAWA ni kuwaogopa kama ukoma,tukumbuke kuna mtu aliyekuwa mshirika mkuu wa Lowasa BASHIR AWALE nae alikuwa na uraia wenye utata.MUNGU IBARIKI TZ.

      Delete
    2. Hakunalolote hiyo magesa sio mkweli haiwezekani mtu sio raiwa ateuliwe kuwa katibu tawala ninuongo huwa wanabeef kwanza kilichotokea paka kumwambia yy ni msomali ni nini kuna jipu kubwa hapo magesa hataki kusema

      Delete

Top Post Ad