Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.


Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable

Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake Tiffah ‘Dangote’.

Wewe unaionaje hii?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siyo sawa kumbusu mtoto mdomoni,hasa kwa busu kama hili la kutanua mdomo kabisa.Hivi kesho ama kesho kutwa mtoto akizoea kubusiwa hivyo si ataona ni kawaida kubusiwa mdomoni?na ataruhusu watu wote wambusu.Mimi Siko timu yoyote,kati ya Zari na Wema kwakuwa wote ni wazinifu na mawakala wa shetani kwakuwa wanafanya mengi yasiyokuwa na maana wala maadili na watu wanashangilia tu.and they keep doing it.So in short sina timu yoyote.Ila hapa nasema ukweli,mila zingine tuwaachie wenzetu.

    ReplyDelete
  2. Kiafya haikubaliki.

    ReplyDelete
  3. huu ni ujinga huyu motto atakuja kubusiwa na watu hata wengi maradhi maana ameshazoea kufantiwa hivyo nyie team ya huyu bwana mfundisheni

    ReplyDelete
  4. TUSIPENDE KUIGA KILA KITU, MENGINE HAYAFAI, TUWA-ACHIE WADHUNGU WENYEWE

    ReplyDelete
  5. Kiafya haijakaa sawa watu wenyewe hawajatulia

    ReplyDelete
  6. bigi no kama ni sawa basi amtemee mate kabisa mdomoni mwake

    ReplyDelete
  7. mi nilisikia huyo mtoto akikuwa atakuwa rais. labda ndo wameanza kumfundisha uraisi wa kunyonya mbo

    ReplyDelete
  8. mamaaaa kamfunika mdomo mzimaaaa hahahaaaaaa

    ReplyDelete
  9. mtoto mwenyewe wa kupakaziwa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad