Shilole Aporomosha Matusi Hewani Akihojiwa Redioni Baada ya Kuulizwa Kuhusu Kuachana na Nuhu Mziwanda..Mashabiki Wadai Amefanyiwa Interview Akiwa Mlevi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemzingua Dj Tass mtangazaji wa kipindi cha Kwetu Fleva baada ya kushusha matusi hewani akihojiwa na mtangazaji huyo na kumfanya aombe msamaha kwa wasikilizaji kwa kutamka Sorry for That mara mia.

Tass alikatiza matangazo baada ya Shilole kuulizwa swali kuhusu mpenzi wake Shilole ambaye ametangaza kutengena naye hivi karibuni Mziwanda ambaye alitamba naye kwa muda mrefu na hata msanii huyu wa kiume kujichora picha ya Shilole mwilini mwake.

Wapenzi wa kipindi cha Kwetu Fleva nawaomba radhi kwa kilichotokea Shilole waombe msamaha, na nimekukanya mara ngapi? Nitakuzingua upo hewani unatukana una maananisha nini? Sorry for that, sorry for that,”anasema Dj Tass.

Baada ya kuagana na Shilole wapenzi wa kipindi hicho wamelaumu Dj Tass kwa kumleta Shilole akiwa kalewa studio na kuharibu interview , msanii huyu alikuwa akimponda sana Nuhu Mziwanda akimtangaza msanii kutoka Uganda E Kenzo kama mchumba wake mpya kwa sasa.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. shilole lazima atukane amind sana coz kamchukua yule dogo nuh studio pindi hiyo ata dogo hana jina dogo kapata umaarufu kupitia shilole sasa dogo kamtosa shilole yuko na mrembo mwingine
    kama shilole angekuwa amemwaga nuh asingetukana coz siku zote kwenye mapenz anayeachwa ndo ana kuwa mtukanaji mkubwa na kelele ming pole shilole
    tatzo ulipenda sana dogo dogo na dogo dogo damu inachemka kutulia sahau nuh alikuwa anajifanya fala ili apate alichikitaka na sasa iv apa mjini si uwongo ushampa usupa staa

    ReplyDelete
  2. Ulevi sio sababu, hakuna wa kumlaumu ila yule bwanaake dereva wa lori aliyemleta mjini bila kuaga Tabora, ataendelea kukumbwa na mikasa maana anataka kujifanya anajua wakati hajui lolote, amrurishe akauze maji,soda na mikate katika sahani stendi ya mabasi Tabora ndiko kunamfaa.

    ReplyDelete
  3. mkianza kushikilia jambo mtalishikilia weeeee mpaka basi.. mwaka mpya sasa na mambo mapya. acheni ufala.

    ReplyDelete
  4. nuh hata kama amepata umaarufu, sioni faida ya kuwa maarufu masikini ni bora aendelee kuwa mario.

    ReplyDelete

Top Post Ad