Tafadhali AY Tunaomba Uwakutanishe Ali Kiba na Diamond ili Kuokoa Ugomvi wa Mashabiki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AY na Diampond
Nguli wa muziki AY tunajua umeachia wimbo remix na superstar wa sasa Diamond platnumz, tunaomba utumie nafasi hiyo kuwakutanisha hao wadogo zako Diamond na mtaalam wa melody Alikiba ili ikiwezekana watoe wimbo wa pamoja , hii itasaidia kufuta chuki na matusi baina ya mashabiki wa pande hizi mbili ambao huko instagram wanatukanana matusi ya nguoni kila kuchwapo.

Matusi ya mashabiki hawa sasa yamehamia kwa wanawake wa wa wanamziki hawa kwasasa Mrs Zali Dangote na shabiki wa kugalagala wa Alikiba Mrs Wema Idrissa . Huu ugomvi hautaishia insta utahamia hata mitaani.

Suluhisho la kufuta ugomvi na hao masupastaa wawili kutoa ngoma ya pamoja hapo watawakata kilimi mashabiki maandazi wanaoijiunga vifurushi vya chuo ili kutukata tu huko insta.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. It's a damn good idea i do support it

    ReplyDelete
  2. Mwenye huo uwezo ni Bob Junior ndio anaweza akawaita na kuwaweka chini kwa busara za kisharobaro

    ReplyDelete
  3. Wanaume WA Kigoma wasenge,makuchu, mabasha, wambea,
    Inashangaaaza mwanamke haswa kuwa Na mwanaume toka Kigoma
    Fyuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...eti mini?



    ReplyDelete

Top Post Ad