Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma
MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji.

Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu.

“Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumzika ushakuwa mke WA mbunge tena mwenyekiti WA vijana taifa
    Ushauri wa bure anzisha kitu kingine kipya

    ReplyDelete
  2. Huyu nae sijui anatafuta nini

    ReplyDelete
  3. Moe wa mbaguzi pole sana

    ReplyDelete

Top Post Ad