Wema Sepetu kujifungua mwezi August

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Malkia wa filamu, Wema Sepetu anatarajia kujifungua mwezi August 2016, kwa mujibu wa mpenzi wake Idris Sultan.

Akizungumza katika kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii, Idris alisema mpenzi wake huyo anatarajia kupata mtoto baada ya miezi 6 au 7 hali ambayo imetafsiriwa na wadau wa mambo kuwa huenda mwanadada huyo akawa na mimba ya miezi 3 au 2.

“Yes very soon natarajia kupata mtoto kama miezi 6 au 7 ijayo,” alisema Idris. Pia Idris alisema bado hajatambua jinsia ya mtoto anayetarajia kujifungua mpenzi wake.

“No hatujui mwenzangu anataka surprise. Mimi nataka kujua kabla kwahiyo bado hatujafikia muafaka, naogopa nisije nikawa nanunua vigauni akaja Wa kiume bure,” alisema.

Aliongeza, “Huwezi kuwazuia watu kuongea, waache waongee maana sometimes watu ni wagumu kupokea changes lakini siku zinavyoenda naamini wataelewa tu.”

Pia Idris alisema wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yote heri kidume kafanya mambo sio hao ambao wamegusa gusa tu bila kufikapo lakini kafanya kweli bigger up Idris mia mia, ndani ya mrembo watu weweweeeeee!!!

    ReplyDelete
  2. yote heri kidume kafanya mambo sio hao ambao wamegusa gusa tu bila kufikapo lakini kafanya kweli bigger up Idris mia mia, ndani ya mrembo watu weweweeeeee!!!

    ReplyDelete
  3. Mola awafungulie kila la kheri. msisikilize maneno ya watu.

    ReplyDelete
  4. all the best, angalau matusi ya mgumba yaishe yabaki ya nyumba na fake.

    ReplyDelete
  5. Mungu ni wawote humpa amtakae kwa wakati wake, walolazimisha kwa pupa wamepewa mtoto wa kambo wamleee. Patamu hapo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu naona hata mama yako alimlazimisha baba yako kumbe mtoto wa kambo

      Delete
    2. Bi kizee atazidi kuzungumza sn

      Delete
    3. michirizi mnajuaga kupanick mbaya tatizo shule zenu za bar....

      Delete

Top Post Ad