Wema Sepetu na Idriss Sultan Wavujisha Picha Wakiwa Kitandani Kama zile za Watuache Tulale..Mashabiki Walalamika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha za Wema Sepetu na Idriss Wakiwa kitandani asubuhi ya leo zimesambaa katika mitandao ikiwa ni siku moja tu baada ya Idriss kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kuwa wanakaribia kupata mtoto...

Mashabiki wa couple hiyo inayoongelewa zaidi kwa sasa wametoa maoni yako katika picha hizo, hapa nimekuwekea baadhi ya maoni;

 tamia_ismail
@zara_elia u u gat the point,l lov ths lady ila apo tu ndo anaponiudhi ...she like to expose evrythin i wsh she cn lern to keep othr things fr herself wala asingekua midomon mwa watu..anyway evry one has got a weaknes

sy_salum_y_madai 
Wewe idrus chaliloo ukija machimboni R chugga lazima tukuwekechini...maan kweli... Ustaa wa gafla unakuzingua maan wakati tumetoka mbali Manzi yako umemwacha bonge lakisu unaenda Pambana na makonkodi maan... Dah unazingua maan

 team.watafutaji 
Kila mwanaume anamtimia wema kwa manufaa yake na kujipatia umaarufu


pcolour543 
Tushazoea huyo dada na hzo picha.. Sio ajabu


 zara_elia
Ila jamani vitu vingine wema angekuwa havionyeshi sasa kila mwanaume anayekutana nae asubui jion kitandani picha haipendezi jamani..angekuwa anasubiri hadi aone uhusiano ukikomaa japo


violetmoshi
@nchinyavu Unajua Sina Team Hapa Ila Unajua ukiwa Kwenye Sanaa Ni bora uexpose kazi yako Na Maisha yako private yawe Ni Siri yako! Nampenda sana Shaa, Kiukweli natamani Wasanii wote Wafuate mienendo yake Na Ndio maana humsikii akisemwa Ovyo, Unadhani hana kasoro au scandal?! No anayo maana Na yeye Ni Binaadam lkn Kwa Kuwa Kwenye social media tunaona habari Za Shaa Na hatuoni habari Za Sarah Kaisi Wala kuzijua! Nadhan anatumia njia nzuri ya Kimaisha Na si Kama hawa wengine kutwaaaa mitandaoni na private life Zao mwishowe tuna kujua nyumbani Hadi mwilini Mpaka vinyweleo Na makovu uliyonayo!


mwacityhamis
Team @DNA mkilala mwalala na makeup mwamuona mwenzenu alivyo mzuri bila makeup akaaaa nipishe mieeeee


guga_ii 
Subiria uzimalize za bba ndo utajutraaaa


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hehehehehhehehe waonyeshe waonyeshe..wema ake...idriss siku ukiachwa naww mtungie wimbo bibie kama shombo kunuka alivyo mswahili

    ReplyDelete
  2. Wema umezidi jamani. Kwani nani asiyejua Kama ww Na idrisa mnakula ngwanju??? Hujitambui my dear. Yaani mi siwezi kukubali mwanangu awe Na mahusiano Na hili DUNGAEMBE. Shame on you wema and idrisa.

    ReplyDelete
  3. sioni ubaya wowote wa hizo picha. hebu waacheni.

    ReplyDelete
  4. kwani wako uchi? hamkosi la kusema

    ReplyDelete
  5. Maelezo Na picha tofauti zakawaida kabisa

    ReplyDelete
  6. Acheni uongo wenu hivi hakuna habari za maana kwenye jamii km watu kukosa pa kukaa watu kukosa huduma za hospitali watu kufa njaa mnatoa habari instagram mnaweka hapo jamani hamfai kuwa waandishi wa habari kabisa naona serikali ingewafungia kabisa mkashika adabu tumewachoka

    ReplyDelete
  7. Kweli kabisa sijui nani anafaidika baina ya wahusika wa hii safu au hawa mastaa wetu maana this is too much

    ReplyDelete
  8. hakika zikiisha za bba na wewe idris ndo mwisho, madam wa matumizi huyo!!

    ReplyDelete

Top Post Ad