ALI KIBA Afunguka Kuhusu Mapenzi yake na Jokate...Adai Watu Wanafiria Tofauti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alikiba na Jokate Mwegelo wamekuwa wakihusishwa kuwa wapenzi kwa miezi kadhaa sasa lakini hawajawahi kukiri hadharani.


Uhusiano wao umekuwa ukionesha kuwa upo kwa picha zao tu wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, lakini tofauti na couples zingine wamekuwa wakiupeuka sana kuweka sentensi moja kuwa ‘sisi ni wapenzi.’

Tumezungumza na Alikiba kutaka kuujua ukweli na huenda akawa ametoa ‘hints’ ya kukusaidia kuthibitisha kama kweli uhusiano wao upo. “Watu wanafikiria tofauti, mimi na Jojo ni close friends,” amesema Alikiba.

“Tunapendana, tunashauriana, tunashare vitu vingi in a good way and she is a nice girl, she is beautiful na anastahili kuwa hata na mimi, kwanini sasa unashangaa? Lakini kama nikiamua kufanya vitu kama hivyo naweza kukuambia ‘Jojo si my girlfriend’ sishindwi lakini sasa watu wako tofauti,” ameongeza.

“Mimi siwezi kuweka personal life yangu hadharani, watu watanijua mimi kama mwanamuziki Alikiba na kuwapa vitu ambavyo wanastahili kupewa.”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao hawajiamini!! in short hakuna upendo hapo ni kuchezeana.

    ReplyDelete
  2. kweli alikiba umekuwa broo cyo kila mtu ajue maisha yako fanya

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...kwani ni lazima kila Mtu ajue kuwa wale ni wapenzi,,,wewe wako anamjua nani?

    ReplyDelete
  4. Mwanamke amependa mwanaume hakuna kitu kama mtu unampenda ushindwi kusema ukweli

    ReplyDelete
  5. Wanafiria ?....mbona jaziba tena ndugu mwandishi

    ReplyDelete
  6. mapenzi yanarun dunia yanarun dunia.

    ReplyDelete

Top Post Ad