Dangote Yaanza Kusambaza Cement Tanzania...Bei ya Mfuko Mmoja wa Cement Hii Hapa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.

Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.

Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila kitu kinawezekana na watanzania tukanufaika na uwekezaji Kama tu viongozi watasimama imara kuipigania Tanzania

    ReplyDelete
  2. hakuna lolote bei ni ya kawaida na hakuna punguzo lolote la unafuu.

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa wanajielewa kweli mi nilikua 5000/ sasa hiyo 13,500 mbona iko juu wakati wengine 12,500/- nakumbuka magufuri alisema atashusha kodi kwa viwanda vya mabati, nondo cement nk ili kuhakikisha kila mtu anaishi katika nyumba bora kwa kuwapunguzi kodi wenywe viwanda wa vifaa vya ujenzi sasa hiki nii, ndiyo nafuu hii au wanaleta utani

    ReplyDelete

Top Post Ad