IDRIS Sultan Amjibu Mange Kimambi Baada ya Mange Kumshauri Wema Atafute Manager wa Bank Mwenye Pesa Kuliko Vijana wa Laki Laki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

IDRIS Sultan Amjibu Mange Kimambi Baada ya Mange Kumshauri Wema Atafute Manager wa Bank Mwenye Pesa Kuliko Hawa Vijana wa Laki Laki

Ameandika Haya Hapa Chini:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. IDRIS YAMEMFIKA HAPA!
    KOMESHAAAAAAAAAAAAAAAAAA MWANA WANE.
    NACHUKIA SANA MWANAMKE MWENYE USHAURI WA KUTAFUTA WANAUME WENYE PESA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yeaaap maana amezidi kuingia ya watu yake yanamshinda. wewe mambo ya Wema na Idris yanakuhsu nini Mange. Nahuyo mtoto ndio she needs to learn how to be independent not to depend with man. Jamani hate wanaume sikuhizi hawataki kuwa na wanawaka maloser maana leo yupo kesho amekufa ghafila unawatoto utatanyaje? unataendakutafuta bwana alee watoto wako. Idris you pretty much right hata hao wakina Bill Gate alianzi kwenye Garage zao and the work hard.

      Delete
  2. Idd kweli ulifumaniwa na lulu chumbani?

    ReplyDelete
  3. Don't buy love sometime you can buy ukimwi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thank you mdau, na hicho huyu motto ndio anacho tafuta.

      Delete
  4. Idris! Achana nae angalia background

    ReplyDelete
  5. hahahahahahahahahaha......MTOTO IDD KAZUA BALAAAAA.......Ila ki ukweli Idris ww ni sikio la mwenye kufa halisikii dawa yaani kama Nuhu mziwanda vile.Afadhari nuhu yeye ndo alipendwa na alikua analelewa ila ww hukupendwa bali zilipendwa pesa zako za big brother. Kijana handsome kama ww kwa nini usitafute msichana mwenye wazazi na mwenye hofu ya mungu ukafanya nae maisha ukapewa heshima ya baba........hii aibu yote inakukuta hv hujawafedhehesha wazazi wako pia?????ASIYESIKIA LA MGUU, HUVUNJIKA GUU siku zote.........

    ReplyDelete
  6. Kumbe Iddris kijana wa laki laki??!!! hahhahhaha

    ReplyDelete
  7. Leo idris umeongea kama mature,huyo kimavi badala kumshauri biashara huyo wema yeye anamwambia atafute ma manager,yeye kimavi na master yake lakini bado nyanda states,tena achana nae ni kunguru huyo kimavi.

    ReplyDelete
  8. na huyu mtoto asipo angalia atakuja kutafuta mwanaume hata wa habari yako asimpate. Mungu si athumani what if Idris anakuja kuwa tajiri wema na Mange ataweka wapi sura yake?

    ReplyDelete
  9. idriss umenena sawa kabisa
    kun maduu wako kamili kila idara familia bora akili zisizolala, wana mpenda Mungu na hawapendi public stunt kabisa kwanini usiwe na mtu wa aina hiyo
    we umekufa umeoza kwa wema
    me huyo wema atanipewe na pesa juu sitakii

    ReplyDelete
  10. Idriss kavuna alichopanda. Aliambiwa na kila mtu hakusikia. Alidhani Wema angetulia kisa alikuwa anaitwa "beb". Fupa lililowashinda fisi yeye (dr.Mwaka feki) alijua ataliweza. Kapigwa mpaka changa la mimba bado yupo tu. Siku ile kenda on air eti kamt*m*a bb bomba leo kesho yake bb bomba kanasa hahahaha. How naive can someone be?!

    ReplyDelete
  11. HI IDRISS MIMI NINACHOKIOMBA SIO KUBISHANA NA WASHABIK NA KUMTUSI MUHUSIKA UTAKUWA UNAMDHALILISHA AMBAE HANA HATIA NA WEWE MAPENZI SI KUDHALILISHANA SIKU HIZI HAMNA MAPENZI NDIO MANA UKAONA MTU ANAKUWA NA HUYU MARA YULE NI MAISHA TU TUOMBEANENI DUA TUACHE.ILA NINACHOOMBA KWENU MUREJEANE BWANA MLIPENDEZANA HAKUNA MAPENZI YASIYO NA MATATIZO NA KUDUMU KWA PENZI NI KUSULUHISHANA ALIEKOSA AKIRI KOSA NA AOMBE MSAMAHA NA ANAEOMBWA AMSAMEH MWENZIWE MUSIWE NYOTE MOTO HAYO NDIO MAPENZI NI UVUMILIVU,KUSAMEHENA ,KUELEWANA,HAKUNA BINAADAM ASIE NA MAKOSA .HAYO YALIYOTOKEA NI MITIHANI YA MUNGU NA UKWELI MNAUJUWA NYINYI WENYEWE.PLEASE IDRISS AND WEMA FANYENI KITU KIZURI JAMII ISHANGAE WENYE ROHO MBAYA NAYI MSIWAPE NAFASI HATA YA KUJIBANA.KUWENI WASIRI KWA MAMBO MENGINE.WALIMWENGU SIKUZOTE HAWAPENDI WATU WAENDELEE. NASEMA TENA HAKUNA ALIEKAMILIKA .

    ReplyDelete

Top Post Ad