Kimenuka...Wakili Awadh Ali Adai Uchaguzi wa Zanzibar Haupo Kisheria..Adai ZEC Inashurutisha Wasiasa na Wananchi Kushiriki Uchaguzi Batili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakili wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Wakili Msomi Awadh Ali amesema kuwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar haupo kisheria. Wakili Awadh,akihojiwa na ITV,amesema kuwa Katiba na Sheria ya Uchaguzi wa Zanzibar haitambui uchaguzi wa marudio.

Wakili Awadh amesema kinachofanywa na ZEC ni kuwashurutisha wanasiasa na wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa marudio hapo Machi 20. Wakili Awadh amesema kuwa washindi wa uchaguzi wa mwaka jana walishapewa vyeti vya ushindi na hivyo hawawezi kupokwa vyeti vyao.

Kuhusu pendekezo la kukimbilia mahakamani kupinga uchaguzi wa marudio,Wakili Awadh amesema kuwa Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pamoja na Katiba haziruhusu kupingwa au kuchunguza ZEC kimahakama.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao zec wanaisakia balaa zanzibar lkn subiri tu,litawarudia wenyewe

    ReplyDelete
  2. Kwani hawajui hao zec kama wanafanya madudu ispokuwa wanafanya kwa amri ya madikteta .

    ReplyDelete

Top Post Ad