Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ajibu Kuhusu Tuhuma za Kuomba Mkopo Bank Kwa Kutumia Nyumba ya Slaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mke wa Dr Slaa Amejibishana na Wadau Katika page yake ya Facebook na kujikuta akijibu tuhuma zilizozagaa jana kwenye magazeti kuwa aliomba mkopo wa sh mil 300 kwa kutumia nyumba ya Dr Slaa...

Soma Majibisha yao hapa;

Bryton Myrium Chadema 
"Mama ni kweli ulitumia nyumba ya dr slaa kumuombea mkopo jamaa mwingine sory kama nimekosea kuulliza"


Josephine Mushumbusi
"Sandra Bahati mbaya sana huwa siamini taarifa za magazeti,hivyo huwa hazipotezi mda Wangu sana. Pili hiyo ni taarifa hakuna mahala wamewasiliana na mimi.
Tusubiri,maana najua wapi pa kuwauliza taarifa hizo walizitoa wapi.
Ufupi bado mtu WA kuniumiza hajazaliwa"

Aggrey Charles
"Mama Josephine Mushumbusi kwa nafasi yako nadhani ugeiga hata zuri moja la Lowassa la UKIMYA. Kwani ni lazima ujibu kila kitu mama? Na ukijibu utajibu mangapi? Ushauri wangu kwako tulia kimya ujisomee tu huku mitandaoni siku zisogee. Mimi ni moja ya wafuasi wazuri wa Mh Dr W. SLAA ila si mama (yaani wewe) lakini heshima yenu ipo kwangu siku zote. UKIMYA wako utakuongezea kitu kuliko huku kuja kulumbana na vijana wenye njaa ya kuona kuna kitu kipya kinazaliwa katika nchi. Watu wenye njaa na kiu ya mabadiliko halisi hugombana na yeyote wanayemwona kama kikwazo. Ni Ushauri tu mama".

Josephine Mushumbusi
"Sometimes it is too much.
Nimekuawa kimya sana.
Na nafikiri ni Leo tu nimeonekana hapa.
Lowasa Hana ukimya naomba tusifananishwe"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Lowasa hajibu taarifa za udaku kama wewe. Pokea ushauri wa mwanao. Naanza kuamini kuwa kweli Umemyumbusha Dr. Na amekubali kupika kuliko kupigia haki ya watz.

    ReplyDelete
  2. Nanyie acheni kupoteza muda kumshauri huyu mama tumuombee Dr. achomoke kwenye hili janga huyu mwanamke pepo kama aliweza kuondoka kwa mumewe wa ndoa atashindwa kumuuza Dr. ambaye amejulia utamu uzeeni

    ReplyDelete
  3. inajulikana huyu mwanamke[josephine]ni malaya papa na alimkimbia mume wake wa ndoa takatifuatoto watatu.huyo slaa ni hawala tuu,ikumbukwe naye slaa alimkimbia mke na watoto.anafikiri ana hawala slaa,kumbe hawala kabeba bango lake la mahawala wa nje[yao]kibao.hana adabu josephine,ni muhuni na malaya.

    ReplyDelete
  4. we mama wewe ni mchumba wake au ni mchepuko wa slaha au mpo ndoani?, mbona unamsumbua sana huyo mzee.?

    ReplyDelete
  5. TUNATOA MIKOPO YA HARAKA YA € 15000 Hadi $ 72000 KIASI CHOCHOTE CHA UCHAGUZI WAKO NA 2-4
    SAA YA HUDUMA YA MAFANIKIO YA KUFANIKIWA NA 2% VIWANGO VYA RIBA KWA BIASHARA
    NA BINAFSI
    MADHUMUNI SASA TUMIA NA UJUMBE WA BARUA KWA:
    philipmorganloanservice00@gmail.com

    JAZA NA URUDI

    Jina:
    Kiasi cha Mkopo:
    Muda:
    Jinsia:
    Nchi:
    Lengo:
    Namba ya simu ya mkononi:

    JIBU LAKO NI LAZIMA MARA MOJA

    ReplyDelete

Top Post Ad