Mwanamuziki Linah Sanga Akiri 'Kubanjuka' na Wizkid Hotelini...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Imefichuka! Hatimaye ishu ya wanamuziki wa Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, kudaiwa kulala kitanda kimoja na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’, imebumburuka.

Baada ya kuandamwa na skendo hiyo ya kutoka kimapenzi na Wizkid huku mashabiki wake waliyo wengi wakishindwa kuamini juu ya uhusiano huo, hatimaye sasa mambo yamevuja na kujidhihirisha kuwa kweli staa huyo alilala hotelini tena kitanda kimoja na Mnigeria huyo.


Kikieleza kwa kujiamini, kiliweka wazi kuwa Linah alilala kitanda kimoja na staa huyo kwenye hoteli moja iliyopo Masaki, Dar, baada ya msanii huyo kutua Bongo kwa ajili ya kufanya makamuzi kwenye moja ya shoo zake alizokuwa ameletwa na promota King Solomon.

“Linah alilala na Wizkid, alikaa naye hadi siku anaondoka kulelekea Nigeria, na nikwambie ukweli uliyojificha ni kwamba, Linah kumbe ni siku kibao alikuwa akiwasilina na Wizkid kupitia mtandao wa Insta Direct, lakini hawakuwahi kuonana ila nafasi ya kuonana na kulala pamoja ilikamilika baada ya Wizkid kuja Bongo,” kilisema chanzo hicho.

Baada ya kumwagiwa ishu hiyo, gazeti hili ‘lilicheki’ na Linah ambaye alikiri ‘kubanjuka’ na Wizkid huku akidai kwamba kuna mtu alifuta kila kitu kwenye simu yake hasa kilichohusiana na Wizkid wakati yeye alikuwa na mipango mingi naye.

Alisema kitendo alichofanyiwa na mtu huyo ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake kimemhuzunisha mno kwani ndoto zake za kufanya ngoma na staa huyo zimeyeyuka.

GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujinga utupu ndio maana ney anawachana kila siku.

    ReplyDelete
  2. Hivi ukitaka kufanya naye ngoma ni mpaka ulale naye??
    Wasichana hebu wacheni 'kujirahisisha', kama ipo ipo tu.
    Hata UKIMWI hamuogopi, au mnadhani umekwisha?? Haya sasa, kakuchapa nao, kasepa!!

    ReplyDelete
  3. huyu linah nae ni walewale

    ReplyDelete
  4. Huyu tibaijuka ni shidaaaa!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. Siyo wote bali mademu wengi wa kibongo wanao ule ushamba wa kupapatikia wanaume wa kutoka nje hata kama hawapati manufaa yeyote yale kutoka kwa hao wageni wanaowapapatikia kikubwa kwao ni kutombwa tu mnatia aibu cheap sluts mmekuwa kama passports vile maanake kila nchi unayotaka kwenda lazima ipigwe mihuri duh!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad