Mwanamuziki Rihanna Noma Sana ..Avunja Record Iliyowekwa na Marehemu Michael Jackson...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rihanna ameivunja rekodi iliyowekwa na Michael Jackson kwakuwa msanii wa tatu aliyetoa nyimbo nyingi zilizoshika nafasi ya kwanza.

Single mpya ya muimbaji huyo mwenye miaka 28, Work aliyomshirikisha Drake, imekuwa ya 14 kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100 na kumshinda Michael aliyekuwa na nyimbo 13.

Rihanna bado yupo nyuma ya Mariah Carey, mwenye nyimbo 18 huku The Beatles wakishika rekodi ya dunia kwa kuwa na nyimbo 21.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa kuna mtu anashindana na marehemu?Ni Lazima atavunja record.sio ajabu.

    ReplyDelete
  2. MICHAEL AGEKUWEPO ANGEKUWA NA NYIMBO 20. HUWEZI KUMSHINDANISHA MTU ALIYEKUWA HAI NA MAREHEMU

    ReplyDelete

Top Post Ad