Nipo ‘Single’, Akitokea Kijana Mwenye Malengo Nipo Tayari – Johari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mkongwe wa filamu, Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa hayupo wenye mauhusiano ya mapenzi na mtu yoyote ila akijitokeza kijana mwenye sifa yupo tayari.
Johari

Muigizaji huo ambaye ni Mama wa mtoto mmoja, amekiambia kipindi cha Enewz cha East Africa Television Ijumaa hii, kuwa yupo tayari kuingia kwenye mahusiano kama atatokea mtu sahihi.

“Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye,” alisema Johari.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wenye dhamira wapo lakn wanawaogopa bongo mavi...maana hamfugiki...

    ReplyDelete
  2. nani aoe apo
    presha nani anataka?

    ReplyDelete
  3. Dooooh. ...sasa hii ni kuwa na uchu wa mahusiano au? Kwani lazima kifanya matangazo? Ndio maana mnaambiwa mnajiuza mitandaoni.

    ReplyDelete
  4. Johari Mara pengi nyinyi mastaa munapenda waume wakufanya nae maigizo ili gazeti ziuzike hiyo ni shida sana

    ReplyDelete
  5. Johari Mara pengi nyinyi mastaa munapenda waume wakufanya nae maigizo ili gazeti ziuzike hiyo ni shida sana

    ReplyDelete

Top Post Ad