Shamsa Ford Akasirika Baada ya Nay wa Mitego Kumpost na Kumtakia Happy Valentines Day...Amtaka Ajiheshimu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsaford 
"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi.nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na ww but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" Shamsa Ford

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimeipenda hiyo samsha,hupendi scandal na si maisha yako kutafuta kiki za kijinga,kazi yako ndio inakutambulisha.Safi sana dada.

    ReplyDelete
  2. Safi sana Shams,jamaa anaonyesha wazi anakupenda bado.Ila ulipotea sana kuwa na Nay,mwanaume asieheshimu mwanamke.Lol!

    ReplyDelete

Top Post Ad