Sultan Idriss Awaomba Radhi Mashabiki Kwa Niaba ya Wema Sepetu Baada ya Wema Kukacha Kutokea Club Billz Jana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usiku wa Jana Mrembo Wema Sepetu Alitakiwa Kuwepo Club Billz kujumuika na mashabiki wake lakini hakuweza tokea, Japo Club ilifurika mbaya baada ya taarifa kuwa Wema Atakuwepo...Idriss Sultan Asubuhi hii Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram

Idrissultan
 "Asanteni sana for all the major love and support mmeonyesha Billz ilikua ni  mmetisha sanaa.
I apologize kwa niaba ya wa ubavu wangu kutokufika mnilaumu mimi si mnajua tena tarehe 14 niliamka na usongo  ila anapumua bado "

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utoto mwingi idriss akikua ataacha

    ReplyDelete
  2. blazamen wa arusha
    hii ndio dar

    ReplyDelete
  3. Kweli huu ndiyo udaku.na nyie waandishi mna kazi.

    ReplyDelete
  4. Kweli zanga limekubemenda.

    ReplyDelete
  5. Shoga WA mange kimambi naye mwanamke pole

    ReplyDelete
  6. Mfupa uliomshinda fisi
    Mbwa wewe utauweza

    ReplyDelete
  7. Yaani.. I still fear for Wema's feelings. She us going to be hurt again. Naona kama bado hajapata ila amepatikana tena.

    ReplyDelete
  8. guys, guys, guys hold the horse, and take a deep breath. Idris is comedian yaani mnasumbua vichwa vyenu kumkasirika yeye kweli akili zenu finywi. is like getting mad with Kavin Hark seriously!!!!! you can not take serious everything he said so get over it.

    ReplyDelete
  9. Heeeeee jamani uyu naye mbona utoto mwingi? Sasa uyo usongo wake sisi unatuhusu nini! Aggggrrrrrr

    ReplyDelete
  10. uchafuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  11. jamani acheni kudanganyika wema hakua na mimba ni kiki tu hizo,kufuta kashfa ya ugumba

    ReplyDelete

Top Post Ad