Ufisadi Mkubwa Wabainika Wilaya ya Ilala..Aliyekuwa Meya Jerry Slaa Aushishwa Kushindwa Kuzibiti Akiwa Meya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUNA mambo mengine ni ya aibu hata kutamka hadharani. Chama chenu mnakinyonga wenyewe kwa mikono yenu kisha mnatafuta wachawi.

Hebu fikiria, uongozi wa Meya wa Ilala ndio kwanza imeanza kazi chini Charles Kuyeka (Ukawa). Wamefanya ukaguzi wa ndani wa mahesabu. Yani hata hawajamaliza tayari wameibui uvundo huu hapa.

"Tumebaini mshahara uliopitishwa na Manispaa kulipa Mgambo ni 280,000/- kwa mwezi na mikataba ya ni miezi mitatu mitatu lakini wamekuwa wakilipwa Kati ya Sh 50,000/- hadi 80,000/- ilhali kwenye vitabu inabaki 280,000/-" Mungu wangu!

Kuyeko anaongeza: "baya zaidi agizo na hitaji la Manispaa ni Mgambo 150 lakini inaonesha walikuwa wakishaajiriwa 150 hupunguzwa kijanja na kubaki 100 lakini vitabuni ni 150". My God! Kweli Jerry Silaa haya yamefanyika ukiwa Meya wa Ilala na hukuyaona?

Kumbe ndio maana mgambo wakimkamata Mamalishe cha kwanza wanawahi masufuria ya ubwabwa na nyama! Kumbe kuna hamuwalipi ipasavyo!! Ninahisi machozi kunitoka. Why you look soo smart haya ulibariki. Mbona mnakidhalilisha CCM namna hii?

Kumbe hata hizi figisu figisu za Umeya ni kutaka kuficha maukoko haya yanayonuka. Na huo ni ukaguzi wa awali tu.

Chanzo: JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. 2020 babu anaingia woyo woyoooooo lowasa rais lowasa rais..yani natamani siku zipae nikachinje ccm

    ReplyDelete
  2. Yani nilikuwa sina mzuka wakupiga kura mdau umenipa mizuka ccm lazima tuwatoe yani hakuna wizara ilikuwa na madudu kama ya mwakiembe mpaka leo hajatumbuliwa jipu walakusimamishwa alafu kapewa na uwaziri kabisa hehehehe ccm ni ile ile ooh ni ile ile alafu anakwambia katiba kwao haina umuhimu

    ReplyDelete
  3. NA WANANCHI, HAPA IKUMBUKWE HUYU DR.JERRY SILAA KICHAMA NDANI YA CCM ALIKUA NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM [YAANI NI MTU MUHIMU,MKUBWA SANA],VIKAO VYAO ROBO TATU VIKIFANYIKIA IKULU DAR-ES-SALAAM CHINI YA MWENYEKITI WA CCM JAKAYA KIKWETE!

    ReplyDelete
  4. endeleeni kuota huyo lowasa kashindwa 2015 kuingia ikulu 2020 hataezea wapi na mpaka ikifika 2019 tiyari kashasahaulika kabisa midomoni mwa wengi
    apa kazi tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad