Updates..Kilichosababisha Sintofamu Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi Kutaka Kuzama Hichi Hapa
3Udaku SpecialFebruary 11, 2016
Updates - Kivuko cha MV Kigamboni mapema leo kilikaribia kuzama baada ya kuzidisha abiria na mizigo, baadhi ya abiria wajitosa na kuogelea.
Kilipoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki kwa abiria.
Mungu atawasaidia watanzania wenzangu haitotokea kivuko kuzama milele Na milele ameen
ReplyDeletehii kitu ya kujaza watu au mizigo kupita kiasi ni tabia zetu waafrika zinazotuumiza, inatakiw kuwe na usimamizi kwenye hilo
ReplyDeleteKila kivuko kikizama utaambiwa sababu ni over weigh. Hivi hakuna watu wa health and safety? Kwenye hivo vivuko?
ReplyDelete