Wolper Atendwa Tena?, ‘Wakati Mwingine Unaweza Ukajiona Umempata Kumbe Umepatikana’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Staa wa filamu Jacqueline Wolper ameibua maswali mengi kwa mashabiki wake wa filamu katika mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe unao onyesha huenda ametendwa katika mapenzi.

Muigizaji huyo ambaye mwisho wa mwaka jana (2015) alimtambulisha mpenzi wake mpya kwa mashabiki wake baada ya kuvalishwa pete, Ijumaa hii ameweka wazi yale yanayomsibu moyoni hali iliyowafanya mashabiki wake watafsiri ametendwa.

Kupidia instagram, Wolper ameandika:

"Maisha yana mitihani migumu saana wakati mwingine unaweza kujiona umempata kumbe umepatikana. Unaweza hata kukufuru Mungu lakini kuna kale kausemi kanachosema tunajifunza kutokana namakosa me nimeanza kuzingatia misemo baada yakukua mkubwa.
Unaweza ukahsi unaishi na mjusi kumbe unaishi na nyoka mwenye sumu kali akikung’ata auponi ewwwe Mungu nipe nguvu eewe Mungu wangu nitoe upofu eewe Mungu washa taa kwenye giza nene nililopo ili nipate muangaza"

Haya ni maoni ya mashabiki wake wa instagram

kate_brown538
Ushaachwa ivo ba pete kidolen hamna kiruuu, nenda kwa mond

zai2n1804
Asante Dada @wolperstylish kwa ujumbe wako mzuri japo wengi wamehisi tofauti kutokana na maneno uloyasema hapo juu ila Mimi nimeelewa vizuri sana thanks again coz nimejifunza kitu kutokana na ujumbe wako barikiwa sana

chegya_boy_
Pole sana my mungu yupo yote mapito IPO siku mungu atakuonesha chaguo llako xo omba mungu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kutokana Na Life Style yenu Very Expensive Fanyeni Kazi kwanza then Spend la sivyo kwa kuwa tegemezi Na maisha hayo kila mtu atachungulia Chupi mwezi mmoja anakimbia

    ReplyDelete
  2. wamezidi kuigiza maisha nani aoe apo kama sii kujitakia magonjwa ya moyo

    ReplyDelete
  3. Kwa ushauri wangu muda mwingi mpige kazi kuliko mapenzi ndio unaweza angalau kumudu maisha ya mjini Other than that get nothing kila mtu atachungulia tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad