Alshabab Wajiapiza Kulipua Bomba la Mafuta Iwapo Litapita Kenya......

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakuu huku mvutano kati ya kenya na Tanzania ukiendelea kushika kasi juu ya wapi bombo la mafuta ghafi kutoka Uganda lijegwe..wanamgambo magaidi hatari wa somalia (Alshabab) wamejiapiza kwamba iwapo bomba hilo litapita Kenya kwenda kwenye bandari ya lamu bas halitachukua sekunde kwani lazima walilipue..akiongea kwa umakini na bila woga msemaji wa kundi hilo amewashauri waganda kwamba wasipoteze pesa zao na nguvu zao bure kwani bomba likipita Kenya lazima watalilipua tu.....
my take.wakenya imalisheni ulinzi was nchi yenu kwanza kabla ya kukalibisha miradi ya nchi za watu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad