Chidi Benz Apelekwa Bagamoyo Sober House Kwa ajili Kumsaidiwa Kuacha Matumizi ya Madawa ya Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana na Kalapina wamemchukua Chidi Benz na kumpeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya.

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimkabili.

Kupitia instagram, Babutale amepost video na kuandika:

"Mwana amekubari kukaa Soba ila anasisitiza wana mje kumtembelea kumpa hope na kuleta mapokopoko manjari. Mungu bariki hii safari ya matumaini"

Katika video hiyo Babu Tale alisema wamefika salama Life and Hope Rehabilitation Organization, Huku Kalapina akiomba mungu kumsaidia Chidi Benz.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Here we go,
    Basi akimaliza safari yake ya matumaini awe kinara wa kufichua na kuharibu utumiaji wa madawa.All the best

    ReplyDelete
  2. YOU CAN MAKE IT CHIDI IF YOU ARE REAL SERIOUS!!! JUST FOLLOW INSTRUCTIONS!!

    ReplyDelete
  3. Watu tulimwambia asibwie miunga akatuona wajinga kumbe mjinga ni yeye

    ReplyDelete
  4. babu tale ,diamond ni wauza unga,time will tell tusubili tuuu,zari nae unga.

    ReplyDelete

Top Post Ad