Diamond: Sina Tatizo na Msanii yoyote Hata Ukija Ofisini Kwangu Utakuta Nimebandika Picha ya Alikiba na Mr.blue

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond amesema hataki kuulizwa tena kama ana bifu na msanii mwingine, amedai hana tatizo na msanii yoyote na ndio maana hata ukienda ofisini kwake utakuta ameweka picha za wasanii wote  hata ambao amekuwa akihusishwa kuwa na bifu nao.

“Ukija ofisini kwangu me nna kuna picha ya blue nimembandika, kuna picha ya Juma Nature, kuna picha ya Ali , kuna picha ya Prof, Jay, kuna picha ya Ray C, kuna picha ya Q chief, TID, AY, wasanii wote wakubwa ambao anajua walianza katika huu muziki, wana mchango katika huu muziki wote me nimewaweka” Diamond Alisema

 “Ofisini kwangu tu ukiingia tu reception, ukiingia tu kunasehemu nimeweka picha za wasanii wote , siwezi kuweka wote kwasababu  zisingetosha lakini kuna baadhi ya wasanii nimeweka kwasababu najua wanamchango kwenye soko la muziki wa Tanzania.” Diamond alielezea

Diamond pia amesema kuwa yeye ndio huwa anahushishwa na bifu na wasanii wengine lakini yeye hana tatizo na mtu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli dogo hana tatizo na mtu,yeye tatizo alilo nalo ni kuwachanganya na kubadilisha totos mara kwa mara,ingawa kwa sasa katulizwa na Zari kisawasawa.

    ReplyDelete
  2. Baba anasema Mama hakunywa maji wewe ukazaliwa,mmmh!
    USIMTENGE!

    ReplyDelete
  3. BABA ALIMTENGA SASA KAWA TAJIRI NDIO MWANANGU. ANGEKUWA CHOKORAA???ANGEJITOKEZA???

    ReplyDelete
  4. halafu namshangaa mzee kutwa kwenye vyombo vya habari kumsema mwanaye!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad