Kama Romeo na Juliet: Diamond na Zari Ndani ya Mahaba Mazito Sweden

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watukufanya utamani kupenda ukapendwa – maake kunakupenda usipendwe na badala yake ikawa tu karaha, mapenzi usiyafurahie tena. Lakini kwa Zari the Bosslady na Diamond Platnumz ni mahaba mazito kama ya Romeo and Juliet kwenye visa vya William Shakespeare. Wenyewe wanajiita Mr and Mrs Smith aka Brad Pitt na Angelina Jolie.

Mapenzi yao (ambayo walau yanadhihirika kwa picha zao za Instagram), yanaweza kuwapa wivu uliochanganyikana na hasira maex wao. Jioneee mwenyewe picha zao wakiwa backstage kabla ya hitmaker huyo wa ‘Make Me Sing’ hajapanda stejini huko Stockholm, Sweden.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapo Wema donge linamuuma anatamani angekuwa yeye Sweden sababu Wema hajawahi kufika Ulaya ila alishawahi kupelekwa Songea na boti he he

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na kupandishwa stejini na kunengua. Dai kiboko. Michirizi yenye sugu inazidi kuongezeka. Muoneni insta na ile nguo yake nyeupe. Matako yanakaribia kufika magotini. Halafu yamesambaa na yana manundunundu. Idriss hana kinyaa...

      Delete
    2. du Diamond alifanya makusudi kumpandisha Wema kwenye steji Songea alitaka kumuabisha Wema, sidhani Diamond anadhubutu kumfanyia hivyo mrembo Zari

      Delete
  2. nitaenda kumuangalia Diamond akitumbuiza Copenhagen ile tarehe 9. Ndiyo itakuwa mara ya kwanza kumuona Diamond akitumbuiza live, cant wait

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Mmependezaa. Mungu awaongoze na awalinde.

    ReplyDelete
  4. SAFI SAAAANA WENYE WIVU WAJINYONGEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  5. unafik tuu. hakuna mapenzi hapo ni kuibiana na kiki za kizee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. POLE WEEE ROHO INAKUUUMA!!!!

      Delete
  6. wakiona cku 3 hawajazungumzwa wanatafuta kila kitu ili mradi wawe juu.

    ReplyDelete
  7. Kamwe sitofagilia ujinga huu,hebu wafunge ndoa maana zinaa ni laana

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE UMEONGEA POINT. WAFUNGE NDOA WAIPUKE ZINAAA

      Delete
  8. DU WIVU UTAWATOA ROHO JAMANI !!! MNAWATAMANIA HAPO. HAHAHA KAZI KWELI KWELI. ETI ZARI MZEE?? HEBU JIANGALIA WEWE UKOJE? DIAMOND NA ZARI WAACHENI HAO WASEME USIKU WATALALA NYIE MWENDO MDUNDO. IPE ROHO KITU INATAKA ATI!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Sijapenda ulivowafananisha na Brad & Ange Jolly. Kwanini usiache watangaze majina yao yaani CHIBU NA ZARI

    ReplyDelete
  10. hakuna mwenye wifu nani anaemtaka malaya alomaliza us. na ug. wabongo mnampapatikia tuu acheni ujinga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDIO WIVU WENYEWE HUO KAMA HUJUI!!!! POLE

      Delete
  11. Nahofia sana kuna wizi unafanyika kwa bi zaaariii au ishu nyengine nyuma ya pazia

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAKUNA WIZI WOWOTE NI MAPENZI TU NDUGU. WAMEPENDANA!!!

      Delete
  12. Wafunge ndoa basi kama kweli wameshibana, waache kuzini

    ReplyDelete

Top Post Ad