Nay wa Mitego Adai Hela Pamoja na Mali Anazomiliki Zina Thamani ya Bilioni Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego Akiwa na Gari yake
Staa wa muziki Nay wa Mitego amedai kuwa hela anazomiliki benki pamoja na mali anazomiliki zina thamani ya bilioni 1.

Akizungumza katika kipindi cha Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii, Nay alisema biashara pamoja na muziki wake ni vitu vinavyomwingizia pesa nyingi.

“Mimi mali zangu na kila kitu zinafika kwenye bilioni hivi, ukichanganya hela zilizo benki pamoja na biashara ninazofanya thamani yake zinafikia bilioni moja na kitu. Sitaki kudanganya watu sijui kwenye bilioni 2 huko,” alisema Nay.


Nay alisema hela hizo amezipata kupitia biashara ya daladala pamoja na muziki wake.

Rapa huyo mwaka 2014 alihamia kwenye nyumba yake iliyopo Mbezi jijini Dar na kudai nyumba hiyo ina thamani ya milioni 200.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NEY NEY Ney kumanyokoooo.....Bilioni1 sawa na Milioni 1000 labda uwe muuza unga lkn kwa biashara ya daladala na muziki wa bongo, muongo wa mchana kweupe fyuuuuuu.....

    ReplyDelete
  2. mali,nyumba,gari sio vya kutambia duniani tunapita tu kwa pumzi za kupewa zikichukuliwa hatuna chetu sio kwa nay tu na wenzake wote wanaotambia mali,tumche mungu

    ReplyDelete
  3. acha roho ya ya korosho na wewe hangaika kama ney upate,wewe unaonekana una roho ya kichawi cyo ajabu hata ukamloga ilui afilisike.

    ReplyDelete
  4. Hicho kikweche usikioshe km una bilioni moja bora ukatupe kipigwe pasi na hizo nguo vaa vizuri hata sura yk imechoka tuu soon utatumia mkorogo km fulani huna lolote mshamba tuu

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. Hata hawakukosea kabisa wale Waswahili wa kale waliposemaga"MASKINI AKIPATA NA MATAKO HULIA MBWATA"

    ReplyDelete

Top Post Ad