Rekodi Yangu Kamwe Haitavunjwa – Mr. Nice

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mr. Nice ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio na kusema kuwa kwa sasa kazi anazofanya ni kwa ajili tu ya mashabiki wake, ili asiwapoteze lakini hahitaji hata promo.

“Ninachojaribu kukifanya hapa ni kwamba naendelea kuwa mwanamuziki kwa sababu sasa hivi sitafuti promo ya aina yoyote, the only thing I need is respect and money, ni heshima na pesa tu ndio natafuta, , kwa hiyo naendelea kutoa nyimbo nzuri ili niendelee kuwa na mashabiki wangu nisiwapoteze,”, alisema Mr. Nice.

Pamoja na hayo Mr. Nice amesema haitaji kazi zake za sasa zifanye vizuri, kwani hataki kuvunja rekodi aliyoiweka kwenye muziki, kutokana na kazi zake za kwanza.

“Mimi ninachoombea Mungu katika kazi ninazotoa sasa hivi zisibeat rekodi zangu ambazo nimeweka, sababu zitaniharibia rekodi, sitaki kujenga rekodi mpya, rekodi iliyokuwepo ipo kwa sababu haitakaa ivunjwe na hata mwenyewe sitaki kuivunja lakini sio kwa ajili ya kubreak records zangu, rekodi zangu zipo na zitaendelea kuwepo”, alisema Mr. Nice.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ile picha iliyovuja mitandaoni ulikuwa umekonda kweli yaani utafikiri sio wewe nilisikitika sana kuwa mtu unaweza kukonda na ukabadilika namna ile? kweli ulikuwa umewekewa sumu kwenye chakula au ni kitu kingine? sasa hivi unaonekana una afya nzuri lakini ile picha uliyokuwa umekonda da inatisha

    ReplyDelete
  2. Usiongelee historia,tueleze ni nini unafanya sasa.kama ni rekodi hata wezi wanayo.

    ReplyDelete

Top Post Ad