TRA Yamkalia Kooni Anna Tibaijuka..Yamtaka Alipe Sh Mil 500 Kutoka Katika Mgao wa Fedha za Escrow Alizotafuna..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TRA imemtaka Profesa Tibaijuka kulipa zaidi ya Sh. milioni 500 kutoka katika mgawo wa Sh. 1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow

Amepinga madai hayo na kukata rufaa kupinga TRA kumtaka alipe kiasi hicho cha kodi, adai hajawahi kupokea fedha hizo kutoka kwa James Rugemalira.

Inadaiwa kuwa Profesa Tibaijuka, ambaye aliondolewa katika wadhifa wake wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutokana na sakata hilo, aliwekewa fedha hizo kwenye akaunti yake na James Rugemalira, Mkurugenzi wa VIP Engineering & Marketing Limited iliyokuwa kati ya wanahisa wa IPTL.

Kutokana na mgawo huo, Desemba 31, 2015, TRA ilimtaka alipe kodi hiyo, baada ya kushindwa kufanya marejesho kutokana na mgawo huo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. cheki domo lile limejaza mamilioni ya wanyonge

    ReplyDelete
  2. Alipe Tu, jangili WA Mali za Umma lione sura ka ushuzi WA panya. Na magufuli sijui kwa nini hawatumbui hawa.

    ReplyDelete

Top Post Ad